YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO August 13, 2016.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
View ArticleTAASISI ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete yafanya upasuaji mkubwa wa moyo...
TAASISI ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es salaam leo imefanya upasuaji mkubwa na kuweka betri katika moyo wa mtu wa makamo kwa mafanikio. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Profesa...
View ArticleFormer President Kikwete issues Interim Statement of the Commonwealth...
The Chair of the Commonwealth Observer Group, HE Dr Jakaya Kikwete, former President of the United Republic of Tanzania (pictured above) says that the voting, closing and counting process following the...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHITIMISHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleCLEZENCIA NA JOSEPH WAMEREMETA
Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Tanzania Daima, Clezencia Tryphone wakiwa na furaha baada ya kufunga ndoa na Joseph Singano katika Kanisa la Mt. Nicholaus Parokia ya Kunduchi jijini Dar es...
View ArticleMkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela jana alitembelea Isimila
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela jana alitembelea eneo la Isimila na kujionea uzuri na mandhari yake. Isimila ni eneo la kihistoria lililopo mkoani Iringa nchini Tanzania, katika kijiji...
View ArticleSERIKALI MKOANI SIMIYU YAAZIMIA KUWACHUKULIA HATUA WATENDAJI WANAOTOA TAKWIMU...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akizungumza na Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa huo (hawapo pichani), katika Mafunzo elekezi yaliyotolewa kwa...
View ArticleWARSHA YA KIMATAIFA KUHUSU MPANGO WA TAKWIMU ZA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Dk. Aziz Ponary Mlima akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi wakati akifungua warsha ya kimataifa kuhusu mpango wa...
View ArticleMAKUNDI 10 YATINGA ROBO FAINALI YA DANCE 100% 2016 CHINI YA UDHAMINI WA...
Kundi la DDI Crew la jijini Dar es wakionyesha umahiri wao wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100% 2016 lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini,Shindano hilo...
View ArticleSerikali ya Jamhuri ya Watu wa China yaonyesha nia ya kusaidia Chuo cha Taifa...
Na Frank Shija, MAELEZOChuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kuwa miongoni mwa Vyuo Vikuu Vitano vitakavyo jikita katika fani za Usafirishaji vitakavyojengwa Barani Afrika kwa msaada wa Serikali ya...
View ArticleWAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO ZIARANI LUSHOTO KUKAGUA...
Waziri wa Nchi - Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba akielezea hali ya upatikanaji wa umeme katika jimbo lake, mara Waziri wa Nishati na Madini,...
View ArticleFIFA KUFUNGA DIRISHA LEO, TIMU ZAPIGWA FAINI
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), leo saa 6:00 usiku litafunga tena dirisha la usajili baada ya kulifungua jana kwa saa 48 na imebainika kuwa timu tatu zaidi zilikuwa na dosari katika...
View ArticleMIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII YATAKIWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama ameitaka Mifuko ya Hifadhi za jamii kuwekeza kwenye viwanda ili kuchochea uchumi wa viwanda utakaolisaidia taifa kukua kiuchumi na...
View ArticleALI KIBA LADY JAY DEE WAFUNIKA TAMASHA LA SEREBUKA 2016 LILILOANDALIWA NA...
Msanii, Ally Salehe 'Ali Kiba' akishambulia jukwaa wakati akitumbuiza kwenye tamasha la kutimiza miaka Miwili ya Chaneli ya Startimes Swahili tokea kuanzishwa Kwake. Tamasha hilo lililopewa jina la...
View ArticleTAARIFA RASMI YA UMOJA WA VIJANA WA CCM KUFUATIA UCHUNGUZI NA MAAZIMIO...
Karibuni sana katika mkutano wetu muhimu tunaofanya leo tukiwa hapa Dodoma mara baada ya kumalizika kwa kikao cha juu cha Jumuiya yetu yaani Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa.Tarehe 10 Agost...
View ArticleBreaking nyuzzzz: Rais wa Zamani wa Zanzibar afariki Dunia leo, Rais Dkt....
Taarifa iliyotufikia mchana huu, inaeleza kuwa kuwa Rais wa awamu ya pili wa Zanzibar na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi (1972-1984), Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa...
View Article