Kundi la DDI Crew la jijini Dar es wakionyesha umahiri wao wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100% 2016 lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini,Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
Kikundi cha The Guest Crew la jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao kusakata dance wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100% 2016 lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki
TIMU MAKOROKORO: Kundi la timu Makorokoro Boys la jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dance wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100% 2016 lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
Kundi la J COmbaty la Zanzibar wakikonga nyoyo za mashabiki wakati wa robo fainali ya shindano la Dance100%2016 katika viwanja vya Don bosco jijini Dar es Salaam . Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA