
Makundi haya mawili ambayo ni waandishi wa “Nymaim Trojan” pamoja na “Gozi Trojan” katika hatua yao ya kuunganisha nguvu yanatabiriwa kuongeza tishio kubwa la matukio ya wizi wa fedha katika taasisi za fedha duniani kote – Na inatabiriwa makundi mengine yakielekea kufata njia hii ya kuunganisha nguvu ili kuongeza kasi ya kudhuru na kuiba fedha katika Taasisi za fedha. Kusoma zaidi BOFYA HAPA