Shamba la Mahindi la Mh. Pinda lawavutia Wengi Mkoani Katavi
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakimuonyenyesha Mh. Dr Christian Mzindakaya shamba lao la mahindi lililopo katika kijiji cha kibaoni Mkoani Katavi,Wakati waliotembelea Shamba...
View ArticleMichuzi Blog Exclusive: Mashua yazama jirani ya kisiwa cha chumbe leo
Baadhi watu waliokuwemo kwenye mashua hiyo wakijaribu kutafuta uelekeo mara baada ya mashua hiyo kuanza kuzama kwa sababu ambazo bado hazijajulikana. Bahati njema baadae abiria wote waliokolewa na...
View ArticleJaji Warioba: Rais hakusema jipya kuhusu Katiba
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Jaji Joseph Warioba (katikati) akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.Wajumbe wa Sekretarieti ya Tume,...
View ArticleWapeleka watoto madrassa badala ya Shule kukwepa Rushwa ya Mkuu wa Shule...
Mkazi wa Kimanzichana Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani Rajabu Juma Mkumba, akimuuliza maswali mbunge wa jimbo hilo Adam Malima (hayupo pichani) kuhusu kulipishwa mchango wa Shilingi elfu Ishirini ili...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Ngoma ya 'Asha' ya Tabora Jazz band miaka ya 70 ilikuwa haina mshindani
View Articlengoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Ngoma ya 'Gere' ya The Kilimanjaro Band "Wana Njenje" si ya mchezo. Ikipigwa lazima utamuonea gere bibie Nyota akiwa Jukwaani, hasa anapoita kabila moja moja kuonesha umahiri wake wa kunanihiii kiuno
View ArticleIN EVERLASTING MEMORY OF OUR BELOVED FATHER
LATE ROGATIAN M. SHIRIMADADDY WE MOURN AND GRIEF YOUR PASSING AWAY THREE YEARS AGO. HOWEVER THE IDEAS, VALUES AND MORALS YOU LIVED FOR AND THE LEGACY YOU LEFT BEHIND WILL LIVE MANY YEARS TO COME THAN...
View ArticleRais Kikwete akutana na Viongozi wa Mkoa wa Singida
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia laptop yake kuwaonyesha viongozi mbali mbali wa Mkoa wa Singida masuala muhimu ya maendeleo nchini,wakati alipowasili mkoani humo jana Januari 5 kwa Ziara ya kikazi...
View ArticleMAPACHA WATATU KUFUNGUA MWAKA IJUMAA JANUARI 11
BENDI YA MAPACHA WATATU.(WAKALI WA TOWN) WANASHUKA NA ONESHO KABAMBEE LA FUNGUA MWAKA, NDANI YA NEW MSASANI CLUB. IJUMAA HII YA TAREHE 11 MWEZI HUU JANUARI ,WAKISINDIKIZWA NA NYOTA WAZIRI NAKUNDI ZIMA...
View ArticleMtoto Samwel Mlope anahitaji msaada wa Matibabu
MTOTO SAMWEL MLOPEUnaweza kujiuliza ni nini ambacho kimetokeza katika mgongo wa mtoto huyu?.Mtoto Samwel Mlope mwenye umri wa miaka kumi na moja(11) ambaye ni mkazi wa Mahenge ndani ya Manispaa ya...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWAJULIA HALI MAJARANI ZAKE KIJIJINI KWAO KIBAONI
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo majirani zake,Mzee Bernard Malyatabu Mayala (88) akiwa na mkewe Bi. Bernadetha Kabandime Msuluba (79) wakati alipowatembelea na kuwajualia hali na...
View ArticleTWANGA PEPETA FC YAIKACHA KIJITONYAMA VETERANS FC LEADERS LEO
Kipa wa timu ya Kijitonyama Veterans, Abdallah Omary (kulia) akiokoa moja ya hatari iliyoelekezwa langoni kwake, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye uwanja wa Leaders Club Kinondoni,...
View ArticleWafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) yasherehekea family...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA),Charles Chacha (kulia) akimkabidhi kikombe cha ushindi kepteni wa timu ya Kombaini ya Makao Makuu ya TCAA,Maria Mamba ambaye ni...
View ArticleKATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA UCHIMBAJI MADINI WILAYANI SAME...
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,Sazi Salula akizungumza na Mkurugenzi wa Baraza la hifadhi na Usimamizi wa Mazingira {NEMC] Eng Benventure Baya na Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makmu wa Rais Dk...
View ArticleDKT. SHEIN AZINDUA BOHARI YA DAWA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifungua rasmini Bohari ya dawa iliopo maruhubi mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra ya sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya...
View ArticleMWANANCHI FC NA MICOVILLA FC NGOMA DROO ZATOKA SARE YA 2-2
Beki wa Mwananchi Fc, Muhidin Sufiani 'Sufianimafoto'(kulia) akimtoka mchezaji wa Micovilla, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam leo asubuhi....
View ArticleRAIS AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA WAKFU ASKOFU DKT ALEX SEIF MKUMBO WA KKKT...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Kanisa la KKKT baada ya sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida leo Januari 6, 2013 Rais...
View ArticleMEYA WA KINONDONI,MH. YUSUF MWENDA AZINDUA UJENZI BARABARA YA MAKOKA,KATA YA...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Mh. Yusuf Mwenda (mwenye shati la kitenge) hivi karibuni alifanya ziara katika Kata ya Makuburi,jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya Makoka...
View Article