Hivi ndivyo ilivyokuwa Safari ya Mwisho ya Marehemu Sajuki
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleSERENGETI FREIGHT YAIFYAGILIA KWA BODI YA UTALII TANZANIA
Salaam.Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza bodi ya utalii kwa juhudi za hali ya juu walizozifanya kuitangaza nchi yetu kwenye ramani ya utralii duniani.Mwaka jana mwezi November kulikuwa na...
View ArticleHOJA YA HAJA YA MBUNGE WA KILWA KASKAZINI KUHUSU GESI ASILIA
Sekta ya gesi na mafuta ni moja kati ya sekta kubwa na ngeni kwa kiasi fulani hapa nchini.Kwa kipindi cha miaka mingi na haswa miaka ya sabini na themanini Serikali ya awamu ya kwanza ilifanya kazi...
View ArticleRAIS KIKWETE AONANA NA MSHAURI WA KIJESHI WA UMOJA WA MATAIFA IKULU DAR ES...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 4,...
View ArticleMti wapiga Mweleka Kutokana na Mvua iliyonyesha leo Jijini Dar
Gari likipita kwa shida pembezoni mwa Barabara ya Pugu Road kutokana na Mti huu kupiga mweleka Mapema leo asubuhi kutokana na Mvua kubwa kiasi iliyonyesha.Hakuna madhara yeyote yaliyotokea wakati wa...
View Article"Mwanajeshi" Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema...
Mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ),kambi ya Monduli,Arusha kwenye mkutano wa Chadema Mji mdogo Mererani,Simanjiro mkoani Manyara hivi karibuni akiwa ndani ya...
View ArticleDK. HARRISON MWAKYEMBE ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege(TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman akimwelezea Dk Harrison Mwakyembe jinsi uwanja wa ndege songwe unavyofanya kazi toka uzinduliwe mwezi wa 12 mwaka jana...
View ArticleRAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA SAJUKI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo Januari 4,...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Mida kama hii enzi hizo ngoma ya Boney M. wakishirikiana na THE ORIGINAL TRINIDAD STEEL BAND wa "Calendar Song" ulikuwa unatamba sana
View Articlengoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Ngoma ya Isha Ramadhan "Mashauzi" wa 'Mama Nipe Radhi' alioimba na mama yake mzazi Rukia Juma ni moja ya ngoma kali sana za taarabu kupata kutokea karibuni
View Articlehepi besdei ya kuzaliwa mtoto Brayden leo
Familia ya bwana na bibi moses mwangende wanafuraha ya kutimiza mwaka mmoja kwa mtoto wao Brayden Moses Mwangende,(Nsajigwa) a.k.a B, tunamwombea MUNGU ampe afya tele na kumlinda,
View ArticleBalozi Seif Ali Iddi akabidhi msaada wa vitanda 24, magodoro na mashuka...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akiwaangalia watoto waliolazwa katika wodi ya watu wa ajali kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja,Zanzibar kabla ya kukabidhi msaada kwa ajili ya wodi...
View ArticleNDEGE MEDICS YAKABIDHI AMBULANCES ZA KISASA KWA HOSPITALI YA AGA KHAN KWA...
Head of Primary Medical Centre Bwa. Siwawi Konteh (wa pili kulia) ambaye pia ni mratibu wa mradi wa Tuunganishe Mikono Pamoja ili kuokoa Afya ya Mama na Mtoto akizungumzia Malengo Makuu ya mradi huo...
View ArticleMVUA YALETA MAFURIKO MKOANI MTWARA
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika maeneo mengi ndani Ya Manispaa ya Mtwara/Mikindani Jana kufuatia Mvua kubwa iliyonyesha karibu kutwa nzima.Picha na na Abdulaziz Video,Mtwara
View Articlevikwangua anga vyaendelea kula mbavu za mbwa jijini Dar
Hapa ni maeneo ya Ubungo nyuma ya stendi ya mabasi yaendayo bara
View ArticleMKE WA MAKAMU WA RAIS, MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAHAFALI YA KIDATO CHA...
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa...
View ArticleDKT. SHEIN AFANYA UFUNGUZI WA JENGO LA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA,TUNGUU...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa jengo la Chuo cha Utumishi wa Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja...
View Article