Bei za Mafuta zashuka tena
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo cha bidhaa za mafuta kinachoonyesha kuwa petroli, dizeli na mafuta ya taa zimeshuka kuanzia leo. Taarifa iliyotolewa jana...
View Articlesalamu za mwaka mpya toka kwa babu kaju
Heri ya mwaka mpya 2013 watanzania wenzangu ,tunauanza mwa huu mpya kwa msimamo mmoja wa kukuza maendeleo ya michezo na sanaa nchini kwetu Tanzania, Watanzania tuna uwezo mwingi wa kufanya mambo...
View ArticleTHOMAS MASHALI KUFANYA PAMBANO WA KUFUNGUA MWAKA 2013
Bondi wa ngumi za kulipwa nchini Thomas Mashali anatarajiwa kupanda ulingoni Januari 12 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Jijini Dar es Salaam kutetea Ubingwa wa Afika Mashariki.Akiongea na...
View ArticleCustomers applaud Stanbic win
Stanbic Bank Head of Finance, Lydia Kokugonza (left) receives the Best Presented Financial Statement award for the year 2011 from Pan African Federation of Accountants Chief Executive officer Vickson...
View ArticleROMA MKATOLIKI AWAPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI KATIKA TAMASHA LA VODACOM-COCO BEACH
Msanii mahiri wa Muziki wa kizazi kipya" Roma Mkatoliki"akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam,waliofika kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi coco beach,katika Tamasha la kuukaribisha mwaka mpya...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA KITABU CHENYE HISTORIA YA KABILA LA WAPIMBWE
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akionyesha kitabu chenye historia ya kabila la Wapimbwe linalotoka Mkoa wa Katavi (kushoto kwa Waziri Mkuu) ni mmoja wa watunzi wa kitabu hicho,Bwana Peter Mgawe mhadhiri wa...
View ArticleMAMBO YALIVYOKUWA SIKU YA MWAKA MPYA DAR LIVE
USIKU wa kuadhimisha kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2013 ulishuhudia burudani ya kukata na shoka katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live ulioko Mbagala, ambapo wasanii kadhaa wa muziki wa kizazi...
View Articlesalamu za rambirambi kufuatia kifo cha msanii Juma Kilowoko Maarufu kama SAJUKI
Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara amewatumia salamu za rambirambi, ndugu, jamaa na wasanii wote nchini kufuatia kifo cha msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)kilichotokea...
View Articlemaendeleo ya msiba wa Sajuki nyumbani kwao tabata bima leo
Baadhi ya Wasanii wa Filamu nchini wakiwa kwenye msiba wa Msanii mwenzano,Marehemu Sadick Juma Kilowoko ama Sajuki aliefariki Dunia mapema leo asubuhi,kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es...
View Articletaka hizi zimeshindikana kuondolewa??
Leo katika pita pita za kamera man wa Globu ya Jamii maeneo mbali mbali ya jijini Dar,Leo alipita mitaa ya Tabata na kukutana na lundo la taka kando kando ya Barabara ya Mandela Road.hali hii imekaaje...
View ArticleKisomo cha Kumuombea Marehemu SAJUKI nyumbani kwao Tabata jijini Dar leo
BOFYA HAPA KUONA PICHA MBALI MBALI ZA MSIBANI HAPO
View ArticleATCL resumes Kigoma flights
AIR Tanzania Company Limited (ACTL) Acting Chief Executive Officer, Captain Milton Lazaro, speaks to journalists (not in picture) about the airline’s plans to resume Dar es Salaam- Kigoma daily flights...
View ArticleSafari ya Mwisho ya Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) kutokea Nyumbani...
Waombolezaji wa Msiba wa Msanii wa Filamu hapa nchini,Marehemu Sadick Juma Kilowoko wakibeba jeneza lenye mwili wake tayari kwa taratibu za kwenda Mazikoni,wakitokea Nyumbani kwa Marehemu Tabata...
View ArticleRais Kikwete aongoza Mazishi wa Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI)...
Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) likiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kwa Mazishi yaliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano...
View ArticleSHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 49 YA MAPINDUZI ZANZIBAR
Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar wakifanya usafi katika maeneo ya Ofisi yao Rahaleo mjini Zanzibar ikiwa ni shamra shamra za kuazimisha miaka 49 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo kilele cha...
View ArticleTAARIFA YA KUAHIRISHA SAFARI ZA TRENI ZA ABIRIA KWENDA BARA
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unawataarifu abiria wote na wananchi kwa jumla kuwa kutokana na kuharibika njia ya reli eneo la Stesheni ya Mikese jana usiku, safari ya treni ya abiria ya...
View ArticleSTARS KUJIPIMA KWA ETHIOPIA JANUARI 11
Timu ya Taifa (Taifa Stars) itacheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Ethiopia. Mechi hiyo itachezwa Januari 11 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Addis Ababa, Ethiopia.Stars chini ya Kocha Mkuu...
View Article