TAARIFA MBALIMBALI KUTOKA TFF
KIINGILIO MECHI YA STARS, MOROCCO 5,000/-Kiingilio cha chini katika mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Morocco (Lions of the Atlas) itakayochezwa Jumapili kwenye Uwanja...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akimkaribisha Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Uchumi ya Umoja wa Mataifa kwa Bara la Afrika, Bw. Carlos Lopes,...
View ArticleNAIBU WAZIRI CHARLES KITWANGA AFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia nchi kwa Njia ya Asili kwenye ukumbi wa Mkutano...
View ArticleTamasha la Pasaka kunufaisha walemavu
TAMASHA la Pasaka linalotarajiwa kufanyika Machi 31, mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, linatarajia kuwanufaisha zaidi watu wenye ulemavu, imeelezwa.Akizungumza jijini leo,...
View Articlepolisi jamiii Manyara yashiriki michezo.
Ofisa wa polisi jamii Tarafa ya Moipo Mkoani Manyara,Amiri Mlemba akikabidhi mpira kwa mabingwa wa soka wa Wilaya ya Simanjiro,timu ya Middle Age ya Mji mdogo wa Mirerani kwenye uwanja wa Barafu.(picha...
View ArticleTPSF yapongezwa kuimarisha sekta binafsi nchini
Na Ripota Wetu , Mwanza Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imepongezwa kwa jitihada inazochukua hivi sasa kuhakikisha kuwa sekta hiyo inakua imara, sauti moja na hivyo kuchangia zaidi katika...
View ArticleSERIKALI YASHAURIWA KUTOA KIPAUMBELE KWA WATANZANIA WAISHIO NJE YA TANZANIA...
Na Waandishi wetu-MAELEZO_Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano kimataifa imeshauri Serikali kutoa fursa kwa watanzania wanaoishi nje ya nchi kuja kuwekeza nchini katika...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIPANGO YA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Anna Abdallah akizungumza na maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Kamati hiyo ilifanya ziara ya ukaguzi wa mipango ya maendeleo ya jeshi hilo,...
View ArticleKINANA AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC, CHINA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (PCP), Ai Ping, Kinana...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA TEHAMA LA CHUO CHA VETA KIPAWA
Rais Jakaya Kikwete akibonyeza kitufe wakati wa uzinduzi wa Chuo cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam jana. Kushoto Bolozi wa Korea, Young-Hoon. Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya...
View ArticleJK ahani msiba wa trafiki aliyegongwa, dereva aliyetokomea baada ya ajali...
Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde zinaeleza kuwa yule dereva aliyemgonga askari polisi wa usalama barabarani WP 2493 CPL-Elikiza Lokisa Nko na kutokomea, amekamatwa jana usiku masaa...
View ArticleArticle 23
Book Now At:Holiday Inn Hotel, Dar City CentreMara Foundation at Mayfair PlazaAmina Design at Quality CentreTausi Fashions at Mlimani CityMpanji Fashions at Jamirex Complex MwengeOr:Call 0717 109...
View ArticleKUMBUKUMBU
MAREHEMU THEREZA DANIEL KAPONGOTarehe 20/03/2013 unatimia mwaka mmoja tangu mpendwa wetu mama ulipoiaga dunia hii na kwenda kwa Baba yetu mbinguni. Tunaamini kimwili hauko nasi lakini kiroho...
View ArticleNew Arrivals Easter Collection at J&M Virgo
New Arrivals Easter Collection,It's time we change your wardrobe,come and visit our store J&M Virgo at C&G Plaza,Mikocheni kwa Warioba in Dar es Salaam.Our wide range of body and foot wear for...
View Articlewadau rome washuhudia Baba Mtakatifu Francis akizindua Utume wake kwa Ibada...
Siku ya Jumanne, tarehe 19 machi, majira ya saa tatu na nusu asubuhi, Baba Mtakatifu Francis, amezindua rasmi utume na utawala wake kwa Ibada ya Misa, katika Uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro,...
View ArticleZiara Ya Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kufungua madarasa mapya ya Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,akiwa katika...
View ArticleNgoma azipendazo ankal
Ankal, wape vitu Ankal apendazo enzi hizo 'Mabrazameni' a.k.a masharabaro wa enzi hizo wakiwajibika kwa kwenda mbele na vitu vya uhakika iwe studio au live kama ktk clip hii kuanzia utanashati,...
View Article