TANZANIA YACHUKUA NAFASI YA KUMI BORA NDANI YA LONDON FASHION WEEK
Imeandikwa na Urban Pulse na Freddy Macha -Picha zote za Urban Pulse Wanamitindo wa Kitanzania- Anna Lukindo, Christine Mhando na Jacqueline Kibacha Jumapili mchana wilaya ya Westminster jijini London...
View ArticleKongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa NHIF lamalizika leo Mkoani Mtwara
Mgeni Rasmi katika Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid akitoa ufafanuzi wa Wizara juu ya maswala...
View ArticleMke wa rais mama salma kikwete kuongoza Montage Charity Ball jioni ya leo...
Pichani ni baadhi ya Wasanii watakao tumbuiza kwenye tafrija ya Montage Charity Ball itakayofanyika jioni ya leo ndani ya Serena Hotel,jijini Dar.Kutoka kushoto ni Peter Msechu,Kidumu kutoka...
View ArticleMbeya yapewa mikoba Tamasha la Pasaka
MKOA wa Mbeya nao umechaguliwa kubeba jahazi la kufanyika Tamasha la Pasaka Aprili mosi mwaka huu.Mapema wiki hii waandaaji wa tamasha hilo walisema kuwa siku yenyewe ya sikukuu ya Pasaka, Machi 31...
View ArticleZIARA YA MAWAZIRI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe katikati ya wiki hii aliongoza ujumbe wa Tanzania nchini Zambia katika kikao cha 58 cha Baraza la Mawaziri wanaosimamia uendeshaji wa Reli ya Tazara....
View ArticleIN LOVING MEMORY
THE LATE ESTHER NYIMBO BADI It is exactly one year today since the fateful Wednesday, 22nd February 2012 at 6.30 p.m when you left us without a word of "kwaheri". We continue to celebrate your life our...
View ArticleNSSF YATOA SEMINA KWA WAFANYAKAZI WA MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD KUHUSU...
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akifafanua jambo wakati mkutano na wafanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications kuhusu mikopo ya...
View Articlezaidi ya mil 142 zapatikana harambee ya kuchangia wanawake wenye matatizo ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage (iliyoandaa hafla hiyo),Teddy Mapunda akimpa zawadi ya heshima Mgeni Rasmi,Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete mara baada ya kuifanikisha vyema tafrija maalum ya...
View ArticleA courtesy visit of High Commissioner of Pakistan
High Commissioner Tajammul Atlaf (left) of the High Commission for the Islamic Republic of Pakistan earlier today paid a courtesy visit to Ambassador Mbelwa Kairuki (right), Director of the Department...
View ArticleMdau Stumai George aagwa rasmi DW Kiswahili
Naibu mkuu wa pili wa Idhaa za Kiswahili wa DW, Josephat Charo. akimpa mkono wa heri kwa furaha Mtangazaji Stumai George baada ya kumaliza muda wake wa mwaka mmoja kuhudumu kama mtangazaji DW. Stumai...
View ArticleMagufuli azindua bodi za CRB na ERB
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli (Mb) amezindua bodi ya Usajili wa Makandarasi Contractor Registration Board (CRB) pamoja na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) jijini Dar es Salaam...
View Articlea laugh a day keeps doctor away: The Deaf Wife Problem
David feared his wife Eshe wasn't hearing as well as she used to and he thought she might need a hearing aid. Not quite sure how to approach her, he called the family Doctor to discuss the problem....
View ArticleMzungu Kichaa announces ”unplugged” spring tour in April & May 2013
Mzungu Kichaa has been selected to perform at the Danish showcase festival SPOT (www.spotfestival.dk) in May 2013. The tour also includes performances in Tanzania, Germany and the UK. Concert details...
View ArticleMSIBA KIBAHA
Familia ya Dr. Denis William Issa mkuu wa kituo cha utafiti wa miwa Kibaha Mkoa wa Pwani inasikitika kutangaza kifo cha Dr Denis Wiliam Issa (pichani) kilichotokea 21 February 2013 katika Hospitali ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA RASMI MRADI WA UPANUZI WA BARABARA YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipowasili katika hafla ya ufunguzi wa mradi wa...
View ArticleWAZIRI MKUU AUNDA TUME KUCHUNGUZA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE
WAZIRI MKUU Mhe. Mizengo Pinda ameunda Tume maalum itakayofanya uchunguzi wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne ambayo yalitangazwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa...
View ArticleMILIONI 16 KUSOMESHA WATOTO YATIMA IRINGA
ZAIDI ya watoto 30 wanaoishi katika mazingira magumu na yatima wamepelekwa shule za sekondari mbalimbali mjini hapa na Asasi isiyo ya Kiserikali ya TCDA ya mjini Iringa kupitia udhamini wa Fredrick...
View Article