DK EMMANUEL NCHIMBI AZINDUA HUDUMA ZA DUTY FREE SHOPS KATIKA JESHI LA...
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja (kulia) akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) kabla ya uzinduzi wa Supermarket ya kwanza katika...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Tancut Orchestra ya mjini Iringa enzi hizo walikuwa si mchezo. Hebu wacheki kina Abdul Salvador, John Kitime, Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa, Kawelee Mutimana na wengineo wakikupa 'Safari sio kifo'...
View Articlemenyu mpya break point ya mjini
Hii ne menyu mpya katika kiota cha Break Point cha mjini, Dar es salaam
View ArticleTaarifa za kinatharia Kupitia Vyombo vya Habari
Kama jibu kwa taarifa za kupotosha za hivi karibuni kutoka kwa vyombo vya habari, Bodi ya fastjet ingependa kuchukua fursa hii kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo za kweli na za kuchafua...
View ArticleJK katika mkutano wa SADC nchini Msumbiji
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji wakiwa katika mkutano wa wakuu wa ncho za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC jijini Maputo Msumbiji...
View Articlebasata yabariki tamasha la pasaka
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limetoa kibali kwa ajili ya Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika Machi 31 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex...
View Articleharrymo body shop
Duka la products from US za bath n body na Victoria secret. Ni bath gel,lotion,body splash,perfume,home fragrance,hand sanitizers,miwani,accessories etc, hizi zote ni kwa wanawake na wanaume. kwa ajili...
View ArticleMAAFISA HABARI WA SERIKALI WAMALIZA KIKAO CHAO MJINI DODOMA, WATEMBELEA BUNGE...
Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Habari Bw. Raphael Hokororo akiwafundisha maafisa habari na mawasiliano wa serikali kutoka Wizara, Taasisi, wakala, mashirika ya Umma, mikoa na wilaya upigaji wa picha...
View ArticleTaarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi itafanya Mkutano wake wa kawaida kuanzia tarehe 10 -11 /02/2013. Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete....
View ArticleCHAMA CHA AKIBA NA KUKOPA CHA JESHI LA MAGEREZA NCHINI (TPS-SACCOS) CHAPATA...
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza, Dionece Chamulesile akitoa hotuba ya kuufunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Pili wa TPS Saccos uliofanyika mjini Morogoro. Wajumbe wa Bodi ya TPS...
View ArticleMdau Gustav Mwaifunga na Bi. Dorcas Dominic wameremeta leo jijini Dar
Mdau Gustav Mwaifunga na Bi. Dorcas Dominic Kyoba wamemeremeta na kuwaka waka leo jijini dar es Salaam baada ya wote kwa pamoja kuamua kuamua kuachana na chama cha makapera.Mdau Gustav ni Muajiriwa wa...
View ArticleDkt Shein katika maulid Tumbatu, Jongowe
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua zawia ya Tumbatu Jongowe,alipohudhuria katika maulidi ya Mtume Muhamad (SAW)yanayosomwa kila...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Msanii GATHO BEEVENS alipokuja na ngoma ya "Azalaki awa" alitetemesha kiasi. Sijui yuko wapi siku hizi
View ArticleOrton na Zainab wameremeta
Mdau Orton Peterson Kiishweko akiwa kwenye pozi na mai waifu wake Zainab wakati wa mnuso wa kusherehekea kumeremeta kwao usiku huu kwenye ukumbi wa NSSF Waterfront hall jijini Dar.Mdau Orton Peterson...
View ArticleCHAMA CHA KUTETEA HAKI ZA WANAUME TANZANIA
KATIBU WA UHAMASISHAJI WA TANZANIA MEN'S RIGHTS ASSOCIATION (TAMRA) TAIFA BWANA HATIBU MGEJA (SHOTO) AKIWA NA MWEKA HAZINA WA TAMRA TAIFA BWANA JUMA KOMBO. KUPATA HABARI KAMIRI BOFYA HAPA
View Articlekazi na dawa
Spika wa Bunge, Mhe Anne Makinda akicheza muziki na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mhe undu Lissu kwenye sherehe za kuuaga na kukaribisha mwaka mpya kwenye Viwanja vya Bunge Dodoma juzi usiku...
View Articlematokeo ya kidato cha nne bado hayajakamilika - NECTA
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema matokeo ya kidato cha nne bado hayajakamilika na kuwa habari zilizozagaa wiki hii kuwa yapo tayari si za kweli.Hata hivyo Baraza hilo limebainisha kuwa...
View Articleernest makulilo celebrates his son's 2nd birthday
Benedikt Fulbright MakuliloWHEN LOOKING AT YOU, BENEDIKT, HAPPY 2ND BIRTHDAY!My dearest son, Benedikt Fulbright Makulilo,Guess what Benedikt? It is another February 10th. On every change of calendar...
View ArticleKilimanjari Marathon wataja njia za mbio hizo mwaka huu
Waandaaji wa mashindano ya mbio za Kilimanjaro Marathon 2013 wametangaza kwamba mbio za mwaka huu zitafanyika katika njia zile zile zilizotumika mwaka jana. Mbio hizo limepangwa kufanyika Machi 3,...
View Article