Maulid ya Mtume Muhammad (SAW) London leo Jumamosi
Assalam alaikhum jumuiya ya Bilal Education inafuraha kukualika katika Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad SAW.Maulid yatafanyika leo Jumamosi terehe 2-02.2013. katika ukumbi wa Etton hall,kuanzia saa...
View ArticleHOTUBA YA RAIS KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI JANUARI 2013
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JANUARY, 2013
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Ngoma ya Gregory Abbott ya 'Shake You Down' ilikuwa moto
View Articlengoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Msanii Dokii na ngoma yake ya 'No One Like OBAMA'
View ArticleNotice to Public: TANZANIA BUSSINESS SCHOOL
Tanzania Commission for UniversitiesNotice to PublicTANZANIA BUSSINESS SCHOOLTanzania Commission for Universities (TCU) would like to inform the general public that Tanzania Business School has invited...
View Articlekumbukumbu
Ilikuwa usiku wa kuamkia Alhamisi, Februari 2, 2012, wakati ulipomaliza kwa amani siku yako ya mwisho ya kuishi hapa duniani na kuanza siku yako ya kwanza ya kuishi makazi ya kudumu akhera. Ilikuwa ni...
View ArticleTUZO ZA WANAMICHEZO BORA WA MWAKA 2013 SASA KUFANYIKA APRIL 27
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Tuzo za Mwanamichezo bora wa TASWA, Haji Manara, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, jana mchana, wakati wakitangaza kuhusu kusogezwa mbele...
View ArticleYALE YALEEE.....
Dear Uncle Michuzi,niko safarini naelekea Tanga nikitokea Morogoro,Huku njiani najionea uendeshaji ambao ni hatari sana.Naamini waweza kushawishi ushauri ufuatao kwa mabosi wa Jeshi la Polisi (upande...
View ArticlePresident Kikwete to implement APRM recommendations
By Special Correspondent, Dar es Salaam A week after his country submitted its Country Review Report in Addis Ababa, Ethiopia under the auspices of the African Union governance assessment Mechanism-the...
View ArticleUbao wa Matangazo usomekavyo leo mjini Kigoma
Mtoto ambaye jina lake halikupatikana mara moja akisoma maandishi yaliyoandikwa leo kwenye ubao wa matangazo wa tawi la Chama fulani cha cha Siasa Mkoani Kigoma.
View ArticleMaandalizi wa Miaka 36 ya CCM kufanyika kesho Uwanja wa Lake Tanganyika...
Moja ya mabango ya Maadhimisho ya Miaka 36 ya CCM kitaifa,yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma.
View Articlekinana akamilisha ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo wilaya ya kakonko...
Katibu Mkuu wa CCM-Taifa,Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelekezo mafupi kuhusiana na bwawa la umwagiliaji kutoka kwa Injinia wa maji mkoa wa Kigoma,Elinatha Elisha (haonekani pichani).Kinana...
View ArticleYANGA NA MTIBWA NGOMA DROOO LEo
Wachezaji Jamal Mnyate wa Mtibwa Sugar (kushoto) na Haruna Niyonzima wa Yanga wakiwania mpira wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam....
View ArticleJK ATUA KIGOMA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 36 YA CCM
Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoani Kigoma jioni hii,tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36...
View Articlebiashara huria oye!
Chezea biashara huria weye. Hapo ni katika mgahawa wa wasafiri wa ndani (mikoani) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ambapo hilo andazi la mviringo maarufu kama...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Ni mwaka 1984 ambapo The Temptations waliwasha moto na ngoma yao ya 'Treat Her Like A Lady'
View ArticleNEWS ALERT: JENGO LA PPF TOWER JIJINI DAR LASHIKA MOTO
HABARI ZIMETUFIKIA CHUMBA CHA HABARI SASA HIVI KWAMBA JENGO LA PPF TOWER MTAA WA OHIO JIJINI DAR ES SALAAM LIMESHIKA MOTO NA JUHUDI ZA KUUZIMA ZINAENDELEA KATIKA GHOROFA YA 11 . TUNAFUATILIA KUJUA...
View ArticleRais Kikwete aongoza Matembezi ya Mshikamano ya Maadhimisho ya Miaka 36 ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM},Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete leo wameongoza Matembezi ya Mshikamano yaliyoanzia kwenye eneo la Mnarani na kuishia kwenye ofisi za CCM mkoani...
View ArticleTaswira za uwanja wa ndege wa mwanza
Sehemu ya kuingilia abiria likikarabatiwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza Sehemu ya abiria ndani ya jengo hilo lina viyoyozi vinavyomwaga maji na kutoa raha abiriaVigari vya kubebea mizigo ya abiria...
View Article