ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar yaendelea
Masoud Ali Rashid wa Bandari (kushoto) na Yussuf Saleh wa Malindi wakipambana. Pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar lilifanyika jana kwenye uwanja wa Mao Tse Tung. Malindi ilishinda mabao...
View ArticleOFA BABKUBWA YA VALENTINE! BIDHAA ZA ASILI ZITOKANAZO NA MIMEA KWA AFYA NZURI...
ARGI+ L-Arginine ni amino acid ambayo ina nguvu, wanasayansi husema kuwa ni molecule ya maajabu kwa sababu, miili yetu hubadilisha L-Arginine kuwa nitric oxide, molecule ambayo husaidia mishipa ya damu...
View Articlekumbukumbu ya mzee
Gration H MatovuYOU LIVE ON:IN THE HEARTS YOU TREASURED.REST IS THINE ANDSWEET REMEMBRANCE OURS. YOU ARE GREATLY MISSEDBY YOUR LOVED ONES.UNAISHI KATIKA MIOYO YA ULIOWAHIFADHI.PUMZIKO NI LAKO...
View ArticleBASATA waipongeza Msama Promotions
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewapongeza waandaaji wa tamasha la kila mwaka la Pasaka, Msama Promotions kwa kulifanya tukio hilo kuwa la kimataifa kwa kushirikisha waimbaji kutoka nchi...
View ArticleMaadhimisho ya Miaka 36 ya CCM yafana sana Mkoani Kigoma leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kigoda toka kwa wazee wa Kigoma wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa chama hicho katika uwanja wa Lake...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Commodores na Ngoma yao ya Night Shift walikuwa sooo...!
View Articlengoma azipendazo ankal - Kizazi kipya
'Usiusemee Moyo' ni mojawapo ya Ngoma zilizotoa Lady JAy Dee
View ArticleUNIVERSITY OF DAR ES SALAAM - Directorate of Post graduate Studies
Applications are invited from qualified candidates wishing to pursue Master of Engineering Management (MEM), Postgraduate Diploma in Engineering Management (PGDEM) and Postgraduate Diploma in Education...
View ArticleMASHINDANO YA KLABU BINGWA YA NGUMI KATIKA PICHA
Mabondia Kombe Ally wa Luaha Galax akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Said Hofu wa JKT Makao Makuu wakati wa mashindano ya Klabu Bingwa yaliyofanyika uwanja wa Ndani wa Taifa.Bondia Said...
View ArticleREDDS ORIGINAL YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KWA WAPENDANAO
Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka...
View ArticleAIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU VYA SHILINGI MILIONI 9 KWA SHULE ZA SEKONDARI...
Toka kulia ni Afisa Mauzo wa Airtel Kagera bw Leonard maige na Menejamauzo wa kampuni ya Airtel wa mikoa ya Kagera na kigoma bw. PeterKimaro katikati wakikabidhi sehemu ya vitabu vya sekondari vya...
View ArticleUS DEPUTY SECRETARY OF INTERIOR HON. DAVID HAYES VISIT SERENGETI NATIONAL PARK
David Hayes, Deputy Secretary-US Department of the Interior discussing a point with the Director of Wildlife Prof. Songorwa (middle) and Martin Loibooki from TANAPA in Serengeti National Park. Hon....
View ArticleSHAMBA LINAUZWA BAGAMOYO
Shamba lenye ukubwa wa heka moja na nusu linauzwa maeneo ya Kiromo, Bagamoyo, liko jirani na Kiromo View Resort kwenye barabara kuu iendayo Bagamoyo mjini, kiasi cha 10 tu. Lina kibanda cha vyumba...
View ArticleBAJAJI F.C YAZINDULIWA JIJINI MBEYA,WAPEWA JEZI MIPIRA NA VIATU
Timu ya Umoja wa Vijana waendesha Pikipiki za magurudumu matatu Mkoani Mbeya imezinduliwa hivi katibuni na kupewa msaada wa jezi viatu na mipira toka kwa mlezi wao Mwaka Mwakisu hapo mlezi huyo...
View Article