Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mabondia Kombe Ally wa Luaha Galax akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Said Hofu wa JKT Makao Makuu wakati wa mashindano ya Klabu Bingwa yaliyofanyika uwanja wa Ndani wa Taifa. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Said Hofu |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mabondia wa timu ya JKT Makao Makuu kutoka kushoto ni Ismail Gaitano,Hmidu Alfani,Khamis Husein na Wambura Amiri klabla awajaingia kwenye mipambano yao. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Wambura Amir akipasha misuri moto |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Selemani Kidunda wa Ngome kulia akimuazibu Mohamedi Chibumbui wa Magereza wakati wa mashindano ya Klabu bingwa yaliyofanyika uwanja wa ndani wa taifa Kidunda alishinda kwa K,O rauni ya kwanza na kuzima ngebe za Chibumbui na kusababisha kumpoteza fahamu kwa takribani dakika 4 ambazo alikuwa akipewa uduma ya kwanza uringoni alipodondoka baada ya kupata makonde yenye kilo nzito. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Mohamedi Chibumbui kushoto akitafuta mbinu ya kumkepa bondia Selemani Kidunda wakati wa mashindano ya klabi bingwa ya Masumbwi Kidunda alishinda K,o raundi ya kwanza. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Selemani Kidunda wa Ngome kushoto akipigwa konde na Mohamed Chibumbui wa Magereza wakati wa mpambano wa Klabu bingwa Kidunda alishinda kwa K,O raundi ya kwanza. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Selemani Kidunda akikimbilia kona Nyeupe baada ya kumkalisha chini Mohamed Chibumbui kwa konde zito wakati wa mchuano wa Klabu Bingwa TAIFA iliyofanyika uwanja wa ndani wa Taifa Kidunda alishinda K,O raundi ya kwanza Picha na www.superdboxingcoach. |