SERIKALI YAIAGIZA BODI YA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI KUDHIBITI MAADILI YA...
Na Josephine Majura, WFM, DodomaNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Susana Mkapa, ameiagiza Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi nchini (PSPTB), kuhakikisha kuwa inadhibiti maadili ya...
View ArticleHafla ya kuwapongeza Waalimu Kata ya Mecco Manispaa ya Ilemela yafana
Diwani Kata ya Mecco Manispaa ya Ilemela, Godlisten Kisanga (CCM) akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha pamoja na waalimu wote wa Shule tatu za Msingi (Nundu, Nundu D na Nyamwilekelwa) katika Kata...
View ArticleNSFF YAJIPANGA KUPELEKA TAIFA KWENYE UCHUMI WA VIWANDA
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiSHIRIKA la taifa la hifadhi ya jamii (NSSF) limeshiriki katika maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania yaliyozinduliwa rasmi leo katika viwanja vya sabasaba...
View ArticleBenki ya Azania Yazindua Rasmi Tawi lake Dodoma.
Benki ya Azania imezidi kujitanua baada ya hii leo kuzindua tawi lake jipya jijini Dodoma ikiwa ni muendelezo wa mkakati wa benki hiyo katika kukuza mtatandao wa matawi yake sambamba na kuunga mkono...
View ArticleKATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi.Maimuna Tarishi akimuonesha Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi michoro ya ramani ya ujenzi wa Majengo ya Ofisi za Serikali...
View ArticleMKUTANO KAZI BAINA YA WADAU WA MAENDELEO, MAAFISA WA SERIKALI NA WATENDAJI...
Na Estom Sanga-DSM Mkutano wa Wadau wa Maendeleo ,Maafisa wa Serikali na Watendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF uliojadili kwa kina utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini ambao...
View ArticleMFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA HANSPAUL AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA MILIONI 60 AU...
NA Vero Ignatus -ARUSHA MFANYABIASHARA maarufu Jijini Arusha,Kamaljit Hanspaul (58), anayejishughulisha na shughuli mbalimbali na wenzake watatu wamehukumiwa kulipa faini ya Sh Milioni 60 au kwenda...
View ArticleWAUGUZI WANAOVUNJA MAADILI YA KAZI KUKIONA CHAMOTO
Na WAMJW - Nanyumbu, MtwaraWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu ametoa onyo Kali kwa Wauguzi wote kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini wanaovunja...
View ArticleTakukuru: Wananchi toeni maarifa za maendeleo ya miradi
Wananchi wameombwa kutoa taarifa mapema kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa miradi ya maendeleo wanaoitilia shaka kugubikwa na ufisadi ili kuokoa matumizi mabaya ya fedha za...
View ArticleJapan yaadhimisha Siku ya Taifa
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Joseph Kakunda (Mb.) akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Taifa la Japani ambapo katika hotuba yake ameipongeza Japan kwa kuendeleza ushirikiano na...
View ArticleManyanya : OSHA kazi yenu inaonekana kila sehemu
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNaibu Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya amesema kuwa Wakala wa Afya wa Usalama Mahala Pa Kazi (OSHA) kazi yao inaonekana kila sehemu ya...
View ArticleTaasisi ya Dk Mengi kutoa tuzo kwa walemavu
Taasisi ya Dr Reginald MENGI ya kusaidia watu Wenye ulemavu imeamua kutoa tuzo kwa Watu Wenye ulemavu ili kuihamasisha jamii kutambua kuwa watu hao wana uwezo wa kufanya makubwa.Akitangaza utoaji wa...
View ArticleKLINIKI YA BIASHARA IPO TAYARI KUTOA HUDUMA, TAGLA YAHAIDI USHIRIKIANO KUKUZA...
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMAONESHO ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania na siku ya viwanda Afrika yamezinduliwa rasmi yakiwa na kauli mbiu ya "Sasa Tunajenga Tanzania ya Viwanda" huku...
View Article