Vifo vya akina Mama na Watoto bado changamoto
Takwimu zinaonyesha vifo vya kina mama na watoto bado ni Changamoto hapa nchini ambapo kina mama 556 kati ya laki moja hufariki Dunia wakati wa kujifungua. Akizungumza Jijini Dar es Salaam kwenye...
View ArticleDkt. Ulisubisya azindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akiongea na wanahabari baada ya kuzindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa...
View ArticleWAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewatoa hofu wananchi hususan wakulima wa korosho nchini baada ya kuwahakikishia kuwa korosho zao zote zitanunuliwa. Amesema Serikali kupitia Bodi ya Mazo Mchanganyiko...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO APOKEA MSAADA WA MBOLEA TOKA GSM TANZANIA
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Onesmo Buswelu(kushoto)ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Siha,akipokea msaada wa mifuko 70 ya Mbolea aina ya Urea kwa ajili ya vikundi vya kina mama wanaojishughulisha na...
View ArticleMwenyekiti Tume ya Madini, atatua mgogoro sugu wa madini, Nzega
Na Greyson Mwase, NzegaMwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula leo tarehe 06 Desemba 2018 ametatua mgogoro uliodumu kwa muda mrefu kati ya vikundi viwili vilivyokuwa vinajishughulisha na...
View ArticleWALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU...
Anaandika Dixon Busagaga kutoka Mlima Kilimanjaro.Siku ya kwanza ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 57 ya Uhuru ilivyo anza na kumalizikia kituo cha kwanza cha Mandara.Mkuu...
View ArticleMFANYABIASHARA DAR AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUKWEPA KODI, KUJIPATIA BILIONI...
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiMFANYABIASHARA Mustapha Kambangwa (34) ambaye ni Mkazi wa Kongowe Mbagala, jijini Dar es Salaam amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka...
View ArticleWAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WAPIGWA MSASA JUU YA SHERIA YA USIMAMIZI WA...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa. Faustin Kamuzora akifafanua umuhimu wa kuizingatia sheria ya usimamizi wa maafa ya mwaka 2015 wakati wa kutoa elimu juu ya usimamizi wa maafa...
View ArticleWANAHABARI WAFUNDWA KUHUSU KINGATIBA YA MAGONJWA YASIYOPEWA KIUPAUMBELE
Mratibu wa Taifa wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kiupaumbele, Dkt. Upendo Mwingira akitoa mada kwa waandishi wa habari kuhusu kampeini kutoa kingatiba kwa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kiupaumbele...
View ArticleNEC YATANGAZA KUFANYIKA KWA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA TEMEKE NA KATA 46 ZA...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika Jimbo la Temeke, Mkoani Dar es Salaam na kwenye Kata 46 za Tanzania Bara.Akitangaza kufanyika kwa uchaguzi huo Mwenyekiti...
View ArticleWAZEE WAMPA USHAURI MZITO SHEIKH WA MKOA
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZAWAZEE wa dini ya Kiislamu jijini Mwanza wameushauri uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kumtanguliza Mungu, ukubali kukosolewa na kuacha kuwapokea mafisadi...
View ArticleWAZIRI MKUU AMUAGIZA SIMBAKALIA AFUATILIE KIBALI WIZARA YA ARDHI
*Ni cha ujenzi wa kiwanda cha nyuzi ChalinzeWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa EPZA, George Simbakalia afuatilie Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhusu kibali cha...
View ArticleWAZIRI LUGOLA AMBANA AFISA ELIMU KWA KUKATAA KUANDIKISHA WANAFUNZI DARASA LA...
Mwandishi Wetu, MARA.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amepiga marufuku wanafunzi wanaoanza darasa la kwanza kutokuandikishwa mpaka wazazi wao walipe michango wanaodaiwa katika shule...
View ArticleRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WENYE...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenye Viwanda ambae pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Al...
View ArticleSALAMU ZA RAIS MAGUFULI KUELEKEA SHEREHE ZA UHURU DESEMBA 9, 2018
*Atoa msamaha kwa wafungwa 4400, awapongeza awamu zote zilizopita*Asisitiza umuhimu wa kuendelea kushirikiana kujenga uchumi wa nchi yetuNa Said Mwishehe, Globu ya jamiiRAIS wa Serikali ya Awamu ya...
View ArticleSerikali yahimiza Usawa wa Jinsia
Na Mwandishi WetuSerikali imesisitiza uwepo wa usawa wa kijinsia katika sekta mbalimbali ili kuendelea kuunga jitihada za kuwezesha usawa huo ambao uliasisiwa katika Mkutano wa Nne wa Dunia wa Wanawake...
View ArticleWAZIRI MHAGAMA AAGIZA HALMASHAURI KUSHIRIKISHA WATU WENYE ULEMAVU PROGRAMU YA...
Na Mwandishi WetuWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza halmashauri zitakazojengwa vitalu nyumba...
View ArticleRAIS DKT.MAGUFULI ATOA SALAMU ZA KUMBUKUMBU MIAKA 57 YA UHURU WA TANZANIA BARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa Salamu za miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania Bara Ikulu jijini Dar es Salaa. PICHA NA IKULU
View Article