MKUU WA WILAYA NAMTUMBO SOPHIA KIZIGO AONGOZA OPERESHENI YA KUONDOA WAVAMIZI...
Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiKAMATI ya Ulinzi na Usalama ikongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Sophia Kizigo imeamua kufanya operesheni maalumu ya kusaka na kuwaondoa watu waliovamia...
View ArticleTanzania kuwakilishwa na waogeleaji wanne Mashindano ya Dunia China
Tanzania itawakilishwa na waogeleaji wanne katika mashindano ya dunia ya kuogelea yaliyopangwa kufanyika nchini China kuanzia Desemba 11 mpaka 16 eneo la Hangzhou Olympic and International Expo Center....
View ArticleUPATIKANAJI WA NAKALA ZA HUKUMU NA NYARAKA NYINGINE ZA MAHAKAMA WABORESHWA...
Na Mary Gwera, Mahakama ya TanzaniaMahakama ya Tanzania iliingia mkataba na Shirika la Posta kuhakikisha kuwa huduma ya kusambaza nyaraka mbalimbali za Mahakama inatolewa kwa nchi nzima. Mkataba huu...
View ArticleUHAMASISHAJI WA USAFI WA MAZINGIRA WILAYA YA CHEMBA WAFANYIKA
Na Shani AmanziMkuu wa Wilaya ya Chemba Simon Odunga amewataka Wananchi wa Chemba kujali afya zao kwa kufanya usafi wa mazingira kuanzia majumbani kwao ikiwemo kuwa na vyoo bora ili kuzuia magonjwa ya...
View ArticleSERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa Hafla ya Kusheherekea miaka 47 ya Siku ya Taifa la Nchi ya Falme za Kiarabu,...
View ArticleAWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI
Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb) leo amehitimisha ziara Ruangwa Mkoani Lindi kwa kukagua miradi ya Kitandi, Mihewe na Mbekenyera. Aidha Mheshimiwa Aweso amefanya ziara Wilayani...
View ArticleNHIF kuanza kampeni ya uandikishaji kijiji kwa kijiji
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akionyesha kitambulisho cha matibabu kupitia mpango wa Ushirika Afya kabla ya kukabidhi kwa wanachama waliojiunga kwenye...
View ArticleSERIKALI YAZISHAURI BENKI NCHINI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO KUCHOCHEA UCHUMI WA...
Benny Mwaipaja, WFM, DodomaNaibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amezitaka Benki nchini kushusha viwango vya riba za mikopo ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi wakiwemo wakulima...
View ArticleTanzania kuwakilishwa na waogeleaji wanne Mashindano ya Dunia China
Dar es Salaam. Tanzania itawakilishwa na waogeleaji wanne katika mashindano ya dunia ya kuogelea yaliyopangwa kufanyika nchini China kuanzia Desemba 11 mpaka 16 eneo la Hangzhou Olympic and...
View ArticleEALA WINS IN SOCCER, BEATEN IN VOLLEYBALL AND NETBALL AS GAMES ENTER DAY 5
East African Legislative Assembly, Bujumbura, Burundi, 6th December, 2018: The East African Legislative Assembly posted mixed results as the Games entered Day 5 in Bujumbura yesterday. In football,...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Desemba, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. Apson...
View ArticleBENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH....
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Abdalla Duchi akimkabidhi Mashuka na Kitanda Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) ni Mbunge wa viti Maalum Wanawake CCM Asha Abdalla Juma...
View ArticleRC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert ChalamilaNa Mwandishi Wetu, MbeyaMKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewataka wamachinga mkoani humu kujiendeleza na kuwa wafanyabiashara badala ya kupenda kuendelea...
View ArticleDkt. Abbasi Awapiga Msasa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiwasalisha mada kuhusu umuhimu wa Mawasiliano ya Kimkakati katika kuisemea Serikali wakati wa kikao cha Wakuu wa...
View ArticleWajasiriamali wajitokeza kushiriki maonesho ya tatu ya bidhaa za wiwanda vya...
Wajasiriamali wakiwa na bidhaa zaa mbalimbali katika maonesho ya tatu ya bidhaa za wiwanda vya hapa nchini yaliyo funguliwa rasmi jana jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Viwanda biashara na...
View ArticleAWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI
Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb) jana amehitimisha ziara Ruangwa Mkoani Lindi kwa kukagua miradi ya Kitandi, Mihewe na Mbekenyera. Aidha Aweso amefanya ziara Wilayani Nachingwea kwa...
View ArticleTRA YAWATAKA MAWAKALA FORODHA KUHAKIKISHA NAMBA ZAO ZA UTAMBULISHO WA...
Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imewataka Mawakala wa Forodha wote kuhakakisha wanafanya uhakiki wa namba zao za Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza na kuisaidia...
View ArticleRADA MPYA KUONGEZA USALAMA WA ANGA NCHINI - TCAA
Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), inatarajia kufanya majaribio ya kwanza ya mfumo wa rada ya kuongozea ndege nchini unaojengwa katika Uwanja wa...
View Article