UNAIDS yaangalia namna ya kusaidia kituo cha Matumaini
Mkurugenzi wa Kijiji cha Matumaini, SR Maria Rosaria akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng ya dawa...
View ArticleMBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU
Kuna kila dalili Sikukuu ya Krismass, Mwaka mpya wakasheherekea wakiwa ndani.Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiKESI ya tuhuma za uchochezi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, Mbunge wa Tarime...
View ArticleMuslim: Madereva fuateni sheria za Usalama Barabarani
Na Chalila Chibuda, Blogu ya JamiiKamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslim amewataka madereva wa kufuata sheria za Usalama ili kuokoa maisha ya wasafiri. Muslim aliyasema hayo wakati...
View ArticleKORTI YAAHIRISHA KESI YA UHUJUMU UCHUMI INAMKABILI MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeiahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mdogo wa mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz, Akram Aziz, kwa sababu upelelezi...
View ArticleMSANII NGULI WA FILAMU ZA KIBONGO HASHIM KAMBI AHIMIZA NIDHAMU KWA WASANII WOTE
Na Khadija Seif,Globu ya jamiiMSANII nguli nchini kwenye tasnia ya filamu ya maigizo Hashim Kambi ahimiza nidhamu iwe ni kipaumbele kwa wasanii wenye majina maarufu pamoja na chipukizi katika kukuza...
View ArticleMJANE WA DAUD BALALI AINGIA KWENYE MGOGORO WA ARDHI MBWENI MAPUTO
*Wanaoishi maeneo hayo wamuangukia Waziri William Lukuvi, wamuomba aingilie kati *Diwani ajitosa kuzungumzia ukweli eneo hilo...adai wananchi wamevamia, waondokeNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiWANANCHI...
View ArticleNANYAMBA SASA KUPATIWA MENEJA WAKE WA TANESCO
Na Veronica Simba – MtwaraWaziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameuagiza uongozi wa juu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuteua na kupeleka Meneja atakayesimamia Halmashauri ya Nanyamba wilayani...
View ArticleKIGOMA YAFUNIKA KAMPENI YA MNADA KWA MNADA KARIBU TUKUHUDUMIE YA MAMLAKA YA...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA leo imeendelea na kampeni yake ya Mnada kwa Mnada karibu tukuhudumie mkoani Kigoma ambayo elimu ya watumiaji huduma pamoja na huduma ya utatuzi wa matatizo...
View ArticleWAZIRI WA KILIMO AAGIZA VYUO VIKUU KUTANGAZA MATOKEO YA TAFITI ZAO
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-KilimanjaroImebainika kuwa tafiti na machapisho mengi yanayofanywa na wanataaluma na wanafunzi katika Vyuo mbalimbali si tu zinasaidia kujenga taswira za vyuo bali...
View ArticleTUCTA YAKIRI KUSHIRIKISHWA MCHAKATO WA UTUNGWAJI WA KANUNI ZA MALIPO YA WASTAAFU
Rais wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhokya amekiri shirikisho hilo kuwa na majadiliano mbalimbali katika ngazi ya Utatu na Upili yaani...
View ArticleWAZIRI MKUU AFUNGUA KIWANJA CHA TAIFA CHA MCHEZO WA BASEBALL
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua kiwanja kipya cha Taifa cha mchezo wa Baseball na kuzindua mashindano ya Taifa ya Baseball nchini. Amewaagiza viongozi wa Wizara ya Habari, Sanaa, Michezo na...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya KOLON Nchini Tanzania Ndg.Teger Lee, kushoto kwa Rais Balozi wa Jamuhuri ya...
View ArticleFilamu ya Uwoya, Red Light kuonyeshwa kesho Ijumaa
Baada ya uzinduzi wa Msimu wa Siku kuu na promosheni kutoka kwa Kampuni ya Star Media (T) Ltd, ambapo walitangaza rasmi nia yao ya kuisadia Bongo Movie kwa kununua filamu kadhaa na kuzionyesha kupitia...
View ArticleBENKI YA NMB YATOA MSAADA WA STULI NA MEZA ZA MAABARA SHULE YA SEKONDARI...
Benki ya NMB imetoa msaada wa Stuli 32 na meza 8 za maabara zenye thamani ya Shilingi milioni tano ili kusaidia wanafunzi kujifunza kwa vitendo masomo ya sayansi katika shule ya Sekondari Mwantini...
View ArticleBENKI YA UBA YABORESHA HUDUMA ZA KIMTANDAO KWA KUZINDUA MAGIC BANKING
Ikiwa ni jitahada za kuendelea kuwa benki bora Barani Afrika kwa huduma za simu za mkononi na kuendelea kuendana na jinsi mtandao unapokuwa haraka na kuwa na bidhaa na huduma zilizo bora kabisa, benki...
View ArticleHARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018
Na Baba FaisalMWENAMUZIKI maarufu kwenye muziki wa kizazi kipya ambaye anafanya kazi zake chini ya Lebo ya WCB Rajab Abdul Kahali a.k.a Harmonize ameamua kuachia wimbo wake mpya wa Paranawe ambao...
View ArticleHALMASHAURI WILAYA YA KALIUA, WADAU WA MAENDELEO WAJIPANGA KUTATUA CHANGAMOTO...
Na Editha Shija, TaboraHALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wilayani humo wamejipanga kumaliza kero ya maji kwa wananchi ambayo imekuwa ya muda mrefu...
View ArticleKIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju (aliyesimama) akifungua kikao kazi cha kupitia rasimu ya taarifa ya nchi chini ya mkataba wa umoja wa mataifa wa haki za watu wenye...
View ArticleJESHI LA MAGEREZA LAFANYA MAADALIZI YA UZINDUZI WA DAWATI LA JINSIA LEO...
Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akitoa hotuba katika ufunguzi wa mafunzo ya siku moja kuhusu mambo ya Dawati la Jinsia kwa Waratibu na Watendaji wa Dawati hilo kutoka Magereza yote...
View ArticleDKT. MABODI AFANYA ZIARA MANISPAA YA MJINI ZANZIBAR
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi, amesema CCM imendelea kusimamia kwa ufanisi sera za maendeleo kwa jamii bila kujali...
View Article