UONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA WAKUTANA NA BALOZI MSTAAFU LT. GEN.MSTAAFU...
Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akimkaribisha aliyekuwa Balozi Tanzania nchini Zimbabwe Lt. Gen.Mstaafu Charles Makakala mara alipowasili Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Dar es...
View ArticleTanzania Kinara wa Kuvutia Wawekezaji Afrika Mashariki
Na. Paschal Dotto-MAELEZOTanzania imeendela kuweka rekodi ya kuvutia wawekezaji kwa nchi zilizopo ukanda wa Afrika Mashariki kwa kuwa na mtaji wa uwekezaji wa Dola Bilioni 1.18, ikifuatiwa na Uganda...
View ArticleEACH ONE TEACH ONE INITIATIVE 23RD NOVEMBER 2018
Each One Teach One is an initiative started by the UBA Foundation with the purpose of All UBA staff to get an opportunity to give back to the community in their own way. The initiative aims at helping...
View Articlemaonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar
Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji,Joseph Kakunda (watatu kushoto) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara,Novatus Rutageruka (katikati)Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO...
View ArticleUPANDE WA MASHTAKA UMETAKIWA KUTOA MAJIBU YANAYOELEWEKA KESI YA UHUJUMU...
Na Karama Kenyunko,Globu ya jamiiUPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Yusuf Ali maarufu kwa jina la ‘Mpemba wa Magufuli', umetakiwa Desemba 18 mwaka huu kutoa majibu ya...
View ArticleDC WILAYANI NZEGA AWAAGIZA MAOFISA KILIMO KWENDA VIJIJINI KUTOA ELIMU KWA...
Na Editha Shija -TaboraMKUU wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora Godfrey Ngupula amewaagiza wataalamu wa kilimo wote waliopo katika wilaya hiyo kwenda vijijini kwa ajili ya kuwapa wakulima elimu ya kilimo...
View ArticleMWENYEKITI WA HALMASHAURI WILAYA YA NZEGA ATOA ONYO KWA WATENDAJI WANAOTAFUNA...
Na Editha Shija, TaboraMWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora Kiwele Michael Bundala ametoa onyoa kali kwa watendaji wa Vijiji na Kata watakaobainika kutafuna fedha za mapato...
View ArticleAWESO ATUMBUA JUMUIYA YA WATUMIA MAJI
Naibu Waziri wa Maji ameendelea na ziara yake ya kikazi MkoaniLindi kwa kutembelea miradi ya maji ya Likwaya, Rutamba na Namangaleiliopo Halmashauri ya Lindi vijijini.Pia aliongea na wananchi na...
View ArticleWADAU WATAKIWA KUTEKELEZA KANUNI MPYA ZA NGOs KUDUMISHA MISINGI YA UWAZI NA...
Wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya Kiserikali (NGOs) wametakiwa kutekeleza Kanuni Mpya za Sheria namba 24 ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya Mwaka 2002 ikiwa ni lengo la kuwa na uelewa wa...
View ArticleMAAFISA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUTHAMINI MIRADI INAYOFANYWA NA SERIKALINI
Na. Edward Kondela Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amewataka Maafisa Ununuzi na Ugavi nchini kutambua na kuthamini miradi mbalimbali inayofanywa...
View ArticleDC MSHAMA AKABIDHI SHAMBA PORI MIKONONI MWA WANANCHI WAKATI AKISUBIRI...
NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA MKUU wa wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama amesema ataandika ombi la kufuta hati ya shamba la mmiliki Siemens, lililopo kata ya Pangani, kutokana na kuwa pori na kugeuzwa...
View ArticleMAHAKAMA YAANZA KUSIKILIZA KESI KWA MTANDAO
Na Magreth Kinabo-Mahakama ya Tanzania Mahakama ya Tanzania kwa mara ya kwanza imeanza kuendesha kesi kwa kutumia mfumo wa Mawasiliano kwa njia ya picha za video yaani ‘Video Conferencing’ kwa kutumia...
View ArticleNAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU AMPA MKANDARASI SIKU 30 KUKAMILISHA JENGO LA...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe .Constantine Kanyasu ametoa siku 30 kwa mkandarasi wa SUMA JKT, aliyepewa kazi ya kujenga jengo la ofisi ya wizara hiyo katika mji wa serikali eneo la Ihumwa,...
View ArticleWAZIRI LUGOLA ATOA AGIZO KWA WANANCHI AMBAO HAWAJAPATA KITAMBULISHO CHA TAIFA...
Na Felix Mwagara, (MOHA), MARA. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka Watanzania ambao hawajajiandikisha waende kujiandikisha ili waweze kupata kitambulisho cha taifa kwakuwa sio...
View Article