LAPF WATAMBULISHA HUDUMA YA UWEKAJI AKIBA KWA WANACHAMA WA HIARI
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama Bw. Ramadhani Mkeyenge akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu dhana nzima ya utaratibu wa uwekaji akiba kwa hiari kwenye Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwenye...
View ArticleMICHUZI TV: NEC YAENDELEA NA TARATIBU YA KUJAZA NAFASI ILIYOCHWA WAZI NA...
Na beatrice Lyimo-MAELEZOTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeutaarifu Umma juu ya kuendelea na taratibu za kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Mbunge wa Viti maalumu(CCM) Sophia Simba aliyefukuzwa...
View ArticleYANGA KUODOKA NA MSAFARA WA WACHEZAJI 20 KESHO
Katibu Mkuu wa Yanga Chrles Mkwasa.Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKuelekea mechi ya marudiano ya mchezo wa hatua ya mtoano wa Kombe la Shirikisho baina ya wawakilishi wa Tanzania klabu ya soka ya...
View ArticleMAHAKAMA YAKUBALI OMBI LA KUWASAFIRISHA WATANZANIA WATATU KWENDA MAREKANI...
Na Karama KenyunkoMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali maombi ya Waziri wa Katiba na Sheria ya kuwasafirisha watanzania watatu wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya kwenda...
View ArticleDC MBINGA ASHIRIKI ZOEZI LA UTEKETEZAJI BANGI KATIKA MOJA YA SHAMBA LA...
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Cosms Nshenye akiwaonesha waandishi wa habari hawapo pichani mashina ya bangi yaliyolimwa katika shamba la mkulima wa kijiji cha Liweta ambaye hakufahamika jina...
View ArticleTV 1 YAJITOSA KUTAFUTA FEDHA ZA MASHINDANO UA TENIS YATAYOFANYIKA MEI NCHINI...
Katibu mkuu wa Chama cha Tennisi nchini , Irene Jackson Mwasanga akizungumza na waandsihi wa habari juu ya mpango wa kuiwezesha timu ya mchezo wa Tennisi kwa walemavu.Meneja Masoko wa TV 1 Tanzania ,...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 38 YA VITA YA KAGERA NA IDD AMIN
Sehemu ya Makaburi ya Mashujaa wa Tanzania, waliokuwa mstari wa mbele kuitetea Tanzania, kuhakikisha wanamuondoa Nduli Idd Amini, hapa wakiwa wamelazwa MWISHO WA VITA VYA KAGERA.Jumatano ya Aprili 11,...
View ArticleSERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUENDELEZA USHIRIKIANO ILI KUKUZA UCHUMI
Na Benny Mwaipaja-Wizara ya Fedha na Mipango.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekutana na Taaasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) kwa lengo la kujadili namna ya kuboresha mazingira ya...
View ArticleAirtel yatoa vifaa vya michezo kwa Timu ya wasichana ya taifa ya Kilimanjaro...
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetoa vifaa vya michezo kwa timu ya taifa ya wanawake ya Kilimanjaro Queen kwa lengo la kuiwezesha timu hiyo kuwa na vifaa bora vitakavyowawezesha kuendelea...
View ArticleTume ya Taifa ya uchaguzi yafafanua kuvuliwa ubunge Sophia Simba baada ya...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
View ArticleWAZIRI MKUU MSTAAFU WA ISRAEL, EHUD BARAK AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akisalimiana na familia ya Waziri Mkuu Mstaafu wa Israel, Mhe. Ehud Barak (kulia) alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
View ArticleMAJALIWA AHITIMISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhitimisha Hoja yake ya Makadirio ya Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 2017. Waziri wa Nchi, Ofisi...
View ArticleBalozi Asha-Rose Migiro awasilisha hati za utambulisho kwa Rais Michael D....
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza na Ireland, Dkt Asha-Rose Migiro mapema mwezi huu aliwasilisha hati ya utambulisho (letter of credence) kwa Rais wa Ireland, Mhe. Michael D. Higgins.Akiwasilisha...
View ArticleSIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV: Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo amesema kukosekana kwa uaminifu kwa baadhi ya wanasheria wa wizara hiyo kumepelekea mikataba mibovu kwa Taifa; https://youtu.be/QyUuuGhgY5sSIMU.TV:...
View ArticleMbunge alaani wasanii ambao wanaondika nyimbo za kumtukana na kumkashfu Rais...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ali Mohamed Keissy amefunguka na kusema wasanii ambao wanaandika nyimbo za kumtukana na kumkashfu Rais Magufuli wanapaswa kupata...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 33 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE WILAYANI...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye ibada ya kuadhimisha miaka 33 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Marehemu Edward Moringe...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA STANDARD...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli akikata utepe kuashiria...
View ArticleDKT EDWARD NGWALE ATEULIWA TENA KUWA Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO Waziri wa Ujenzi, Uchukukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa (Mb), kwa mamlaka aliyopewa...
View Article