SIMU.TV: Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo amesema kukosekana kwa uaminifu kwa baadhi ya wanasheria wa wizara hiyo kumepelekea mikataba mibovu kwa Taifa; https://youtu.be/QyUuuGhgY5s
SIMU.TV: Fuatilia mahojiano maalumu baina ya TBC na Dr Hellen Ottaru kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa na manufaa yake kwenye uchumi wa Tanzania; https://youtu.be/5he3ovQaAz4
SIMU.TV: Baadhi ya wakazi mkoani Kigoma wameonesha hofu ya kujiunga kwenye vikundi vya Ushirika ili waweze kukopeshwa fedha kwa ajili ya maendeleo; https://youtu.be/U4A_gGZvKPM
SIMU.TV: Sekta ya Utalii visiwani Zanzibar inasemekana kuwa chachu ya vijana wengi visiwani humo kufahamu Lugha zaidi moja; https://youtu.be/fQ8rFRJ4P_I
SIMU.TV: Kampuni binafsi zinazofanya biashara katika maeneo hatarishi kwa uharibifu wa mazingira yametakiwa kuhakikisha wanalinda mazingira; https://youtu.be/C52_tvXJbug
SIMU.TV: Taasisi inayohusika na utoaji Barcode imetiliana saini na halmashauri za mkoa wa Kigoma kuanza kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wadogo mkoani humo; https://youtu.be/qaJJ2QEA1I0
SIMU.TV: Afisa mtendaji mkuu wa benki ya Afrika hapa nchini amesema wametenga zaidi ya shilingi bilioni 500 kwa ajili ya kuwakopesha wafanyabiashara; https://youtu.be/qTCLH_zy2yM
SIMU.TV: Klabu ya soka ya Yanga inatarajia kuondoka hapo kesho kuelekea nchini Algeria kurudiana na wapinzani wao katika kombe la shirikisho klabu ya MC Alger; https://youtu.be/UZwv8YZcDYQ
SIMU.TV: Fahamu hapa baadhi ya mapambano ya Masumbwi yatakayopigwa katika sikukuu ya Pasaka nchini Tanzania ; https://youtu.be/RYbgFhOHNFs
SIMU.TV: Fahamu hapa jinsi mchezo wa kubashiri matokeo mbalimbali ya soka barani Ulaya unavyowanufaisha mashabiki wa soko nchini Tanzania; https://youtu.be/H4q-3AoQXkw