kashangae feri
Wakati Dar es salaam unaambiwa nenda kashangae feri ambapo shilingi inazama ila meli inaelea, kwa upande wa jiji la Singapore ni tofauti kidoooogooo.... Hapo unaambiwa nenda Marina Bay kashangae meli...
View ArticleRAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI SINGAPORE KWA KUTEMBELEA MAENEO...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakitembezwa kwenye makao makuu ya Mamlaka ya Ustawishaji Upya wa Miji Upya ya Singapore leo Juni 6, 2013 ambapo wanajionea mfano wa jiji hilo ukiwa...
View ArticleHOJA YA HAJA: MAONI NA ANGALIZO JUU YA RASIMU YA KATIBA
Dear AnkalKwa kweli wajumbe wa tume ya katiba wameyatendea haki maoni ya watanzania juu ya katiba mpya. Ingawa sijapata muda wa kusoma kifungu hata kifungu kwa utulivu, lakini kwa muonekano wa...
View ArticleKUTANA NA ALVIN KIJANA WA KITANZANIA AISHIYE SINGAPORE ANAYEFANYA MAKUBWA NA...
Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa Kitanzania anayeishi na wazazi wake nchini Singapore. Akiwa na umri wa miaka 14 na mwanafunzi wa kidato cha pili huko Singapore, tayari ameshatumbukiza jina...
View ArticleBIG BROTHER: THE CHASE,HEARTS TRUMP HEADS IN THIS WEEK’S NOMINATIONS
The housemates on Big Brother: The Chase may have struggled to nominate each other for eviction after just 24 hours in the game last Monday, but this week DStv audiences saw how alliances,...
View ArticleDereva mzembe ahukumiwa kwenda jela miezi 12 na kufungiwa Leseni yake Maisha
Na Bazil Makungu LudewaMAHAKAMA ya Wilaya ya Ludewa katika Mkoa wa Njombe imemhukumu kwenda jela miezi kumi na mbili na kunywang’anywa leseni ya udereva na kisha kufungiwa kutoendesha gari lolote...
View Articlewatoto watukutu wakipewa mafunzo wanabadilika na kuwa watoto wema - MAMA...
Na Anna Nkinda – Singapore Watoto waliotengwa na jamii kutokana na tabia ya kutokuwa na maadili mazuri (watukutu) kama watapewa nafasi ya kupata mafunzo ya kutosha ya dini, elimu ya darasani na...
View ArticleWadau wakiwa katika mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini...
kushoto Bw Sheha Mjaja Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Zanzibar, na Kulia ni Bw. Emmauel Tutuba kutoka wizara ya fedha, wakifuatilia jambo katika mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini...
View ArticleNANI WA KUIBUKA NA TAJI LA REDD'S MISS SINZA LEO?
Warembo 11 kati ya 12 wanaopanda jukwaani leo kuwania Taji lenye Sifa Kuu mbili ya Redd's Miss Sinza 2013, lakini pia linaloshikiliwa na Redd's Miss Tanzania 2012-2013, Brigit Alfred, leo katika Ukumbi...
View ArticleSOMKI - FURSA YA UDHAMINI KWA AJILI YA WANAFUNZI WA KIKE WENYE VIPAJI LAKINI...
Tunayo furaha kuwafahamisha kuwa kuna nafasi za udhamini kwa ajili ya wanafunzi wa kike wenye vipaji lakini wasiojiweza, chini ya Mradi wa Somesha Mtoto wa Kike (SOMKI). Mradi wa SOMKI unaleta utofauti...
View ArticleWAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO CHA...
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (wakatikati)akisikiliza maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Zbc Radio Ali Aboud alievaa kanzu kushoto kutokana na kuunguwa kwa Kifaa cha Waya...
View ArticleAirtel yaongeza muda vifurushi vya Airtel Yatosha, sasa huduma masaa 25 kwa siku
Airtel Tanzania imeendelea kutimiza dhamira yao ya kuwapatia wateja wake unafuu zaidi kupitia huduma yake ya AIRTEL YATOSHA nchini ambapo sasa wateja watafurahia Vifurushi vya Airtel Yatosha kwa...
View ArticleTAIFA STARS YAIKABILI MOROCCO UGENINI KESHO
Taifa Stars inatupa karata yake ya pili ugenini kwenye mechi za mchujo za Kombe la Dunia kwa kesho (Juni 8 mwaka huu) kuikabili Morocco (Lions of the Atlas) kwenye Uwanja wa Grand Stade hapa Marrakech,...
View Article