BOSI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA AINADI NHC NCHINI SINGAPORE
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Nehemia Mchechu akilinadi shirika lake kwa wawekezaji wa Singapore katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
View ArticleNBC donated books and other educational materials at Buguruni Primary School
NBC Chief Operating Officer, Maharage Chande addressing a section of the students (not in picture) during a brief handover ceremony held at Buguruni Primary School for Deaf Children. NBC donated books...
View ArticleUJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM WATUA DAR ASUBUHI HII
Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Vietnam (CPV), Hoang Binh...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda afungua Mkutano Mkuu wa kujadili Utekelezaji wa...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akihutubia wajumbe (hawapo pichani) wakati wa ufungunzi wa Mkutano Mkuu wa kujadili Utekelezaji wa Miradi ya Maji Vijijini, Jijini Arusha unaojadili utekelezaji wa kuwapatia...
View Articlemdau George na bi. Nembris Wameremeta
Hayawi hayawi yamekuwa , Bwana harusi George Madinda akimvisha pete ya ndoa mkewake Nembris Jackson wakati wa ibada ya ndoa yao ilioyofanyika katika kanisa la Angrican Mt. Batholomea lililopo Ubungo...
View ArticleWAJUMBE WA BODI YA NHIF WAFANYA ZIARA MAKAO MAKUU
Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) jana walifanya ziara katika ofisi za Makao Makuu ya Mfuko huo kwa lengo la kutembelea ofisi hizo na kuangalia mazingira ya kazi. Wajumbe...
View ArticleKero ya Mdau juu ya Matangazo yanayotumwa kwenye Email za Watu
Habari yako mkuu wa Libeneke.Mimi naomba msaada wako maana kwa wiki kadhaa sasa nimekuwa nikipata unsolicited emails kutoka kwa watu wanajiita Dar-Insight ambao wanatuma matangazo ya ajabu ajabu ambayo...
View ArticleDKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA OMAN NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi DK Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa Albakri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo asubuhi kwa mazungumzo....
View ArticleMaonyesho ya Wurzburg Festival Ujerumani,Yavamiwa na mafuriko ya maji
Jumamosi ya tarehe 1 Juni 2013,katika viwanja vya maonesho ya Wurzburg Festival, Kulikuwa na majonzi na simanzi baada ya eneo hilo kukumbwa na mafuriko yaliyosababisha hasara kubwa na kuvunjwa kwa...
View ArticleNews Alert: Mume wa Khadija Kopa afariki Dunia leo
Taarifa zilizopatikana mapema leo asubuhi,zinaeleza kuwa Mume wa Mwanamuziki Mkongwe wa Miondoko ya Taarab,Malkia wa Mipasho,Bi. Khadija Kopa, aitwaye Jaffari Ally amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...
View ArticleSHUKRANI – TANZIA
ADELAIDA JOHN KWALEWELE MIKONGOTI (BINTI KWALE)Familia ya Marehemu Pius Hassan Ngavochya Mikongoti ya Dar Es Salaam inapenda kutoa shukrani za dhati kwa kutufariji katika msiba mkubwa tulioupata kwenye...
View ArticleHali ilivyokuwa baada ya Khadija Kopa kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe
Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya (kushoto) akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania,Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege...
View ArticleNews Alert: mabadiliko ya makamanda na wakuu wa upelelezi katika baadhi ya...
Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Said Mwema, leo amefanya mabadiliko ya makamanda na wakuu wa upelelezi katika baadhi ya mikoa hapa nchini.Katika mabadiliko hayo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa...
View ArticleBalozi Kamala ashiriki Mkutano wa Taasisi ya Uwekezaji nchini Ubelgiji
Balozi wa Tanzania BENELUX na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwasilisha mada kuhusu fursa za uwekezaji Tanzania kwa Wanachama wa Taasisi ya Uwekezaji ya Ubelgiji (FIT). Mkutano...
View ArticleWAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WALIMU WILAYA YA...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Wazazi pamoja na Walimu wa Wilaya ya Kati Dunga alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Maskuli...
View ArticleREDD'S MISS MARA 2013 YAPEWA MIL. 10 KUTOKA AFRICA BARIC GOLD
Ofisa kutoka kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano wa Barrick Gold Mining Fatuma Mssumi akimkabidhi Kaimu Ofisa Tawala wa Mkoa wa Mara mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 10, ikiwa ni...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA
FAMILIA YA MAREHEMU JUMANNE NYANGASA WA DAR ES SALAAM, WANASIKITIKA KUONDOKEWA NA MAMA YAO MPENZI BI MAAJABU KHATIBU ABDALLAH MGANGA (83) (MAMI FATUMA), ALIYEFARIKI TAREHE 6/6/2013 SAA SABA MCHANA...
View Article