Wafanyakazi wa Airtel Tanzania watunukiwa tunzo baada ya kuhitimu mafunzo ya...
Mkurugenzi wa Airtel Bw Sunil Colaso akiongea na wahitimu mafunzo ya mauzo na usambazaji yanayoendeshwa na Airtel Centum Sales University (ACSU) wakati wa tafrija iliyofanyika katika ofisi za Airtel...
View ArticleKusini Pemba wapewa somo kuhusu majadiliano kwa manufaa ya wote
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Bw. Juma Kasim Tindwa akizungumza katika majadiliano ya ushirikiano kwa manufaa ya wote(Smart Partnership Dialogue) kwa watu wa kada mbalimbali kisiwani humo, (kushoto) ni...
View ArticleTwiga Cement yasaidia wahanga wa mafurikiko Arumeru
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na pia Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye (katikati mwenye suti nyeusi) akipokea sehemu ya msaada wa mifuko 200 kutoka kwa Meneja...
View ArticleUSAJILI WA TUZO ZA MUZIKI ZA RFI WAANZA, WANAMUZIKI TANZANIA CHANGAMKIENI...
Kwa usajili wa tuzo za muziki za rfi ambazo hufanyika kila mwaka na kuwashirikisha wanamuziki mbalimbali katika bara la Afrika bonyeza hapo chini rfi music award registration.
View ArticleCoca-Cola handover balls, bibs for Copa Coca-Cola
Coca-Cola Tanzania Brand Manager Maurice Njowoka addresses the media at a ceremony where Coca-Cola Tanzania handed over balls and bibs for the U-15 Copa Coca-Cola tournament at district level. The...
View ArticleMADIWANI KILWA WAPITISHA MPANGO WA KUBORESHA MAENDELEO WILAYANI HUMO
Katibu Tawala msaidizi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Lindi,Abdul Dachi akitoa elimu kwa Madiwani ikiwemo wajibu na majukumu yao katika semina ya uelimishaji kwa madiwani ikiwemo kupitia mpango wa...
View ArticleChief Olusegun Obasanjo akizungumza akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo...
Rais wa zamani wa Nigeria,Chief Olusegun Obasanjo akiongea katika uzindunzi wa Jengo la utafkiri wa kisayansi wa kilimo katika nchi za tropiki lililopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.picha zaidi...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA KITUO CHA TAASISI YA KIMATAIFA YA KILIMO CHA KITROPIKI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.Rais...
View Articlefainali kombe la mbuzi kati ya Manunda FC vs G-West
Mechi ya Fainali kugombea kombe la Mbuzi na jezi kati ya Manunda FC na G-West iliyofanyika kwenye Uwanja wa Msisiri A Jana 12/5/2013 Mwananyamala DSM ilikua na vimbwanga vya aina yake ambapo moja ya...
View ArticleRC Kilimanjaro afungua Kongamano la wadau wa habari na wanahabari mkoa wa...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akifungua kongamano la tatu la waandishi wa habari na wadau wa habari mkoa wa Kilimanjaro lilifanyika katika ukumbi wa ofisi ya mkoa. Mkuu wa wilaya ya Moshi...
View ArticleNEEC NA UDEC YATOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU VYUO VIKUU NA KUKOSA...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Dkt. Annacleti Kashuliza akifungua mafunzo ya wiki 3 ya Vijana 40 waliohitimu masomo ya elimu ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam...
View ArticleMBIO ZA UDIWANI ZIKITARAJIWA KUANZA WIKI IJAYO MWENYEKITI CCM THEMI AKIMBILIA...
Mwenyekiti wa CCM kata ya Themi,Petro Ndarivoi akirudisha kadi ya chama cha mapinduzi kwa mwenyekiti wa chama cha CUF halmashauri ya jiji la Arusha,Hamza Mustaph kwenye makao makuu ya chama hicho jana...
View Articlejaji mkuu awasili mbeya kwa ziara ya kikazi
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na mmoja wa Maafisa wa Mahakama Mara alipowasili Katika ziara ya kikazi mkoani Mbeya leo, katikati ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda...
View ArticleCRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 18 WA WANAHISA JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo uliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha,...
View ArticleMhe. Membe azungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (katikati) akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini (hawapo pichani) kuhusu masuala mbalimbali ya...
View ArticleCOSTECH'S OIL AND GAS SEMINAR AT MILLENIUM RESORT IN BAGAMOYO
THE COMMISSION FOR SCIENCE AND TECHNOLGY (COSTECH) IS RUNNING A TRAINING OF CAPACITY BUILDING WORKSHOP FOR HIGHER LEARNING INSTITUTIONS AND TECHNICAL SCHOOLS ON THE AREA OF OIL AND GAS AT MILLENIUM...
View ArticleSHORT COURSE ON HYPOTHESIS TESTING
The department of Statistics of the University of Dodoma is announcing short course training on hypothesis testing that is going to be conducted on May 18 – 19, 2013. Apart from other things the...
View ArticleDiamond Platinam na Ney wa mitego kupanda jukwaa moja Mei 18
WASANII wa Muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdul 'Diamond Platinam' na Ney wa mitego wanatarajia kupanda jukwaa moja kumtafuta nani mkali katika uzinduzi wa video ya Muziki gani itakayozinduliwa Mei 18...
View Article