MKURUGENZI MKUU WA NHC AZUNGUMZIA MIRADI YA SHIRIKA HILO KATIKA MAONYESHO YA...
Mkurugenzi wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maonyesho ya TANTRADE Sabasaba yanayoendelea katika viwanja hivyo vilivyopo barabara ya...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAONGOZA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SWALA YA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika pamoja na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia), Mufti wa Tanzania, Alhaj Sheikh...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA BARAZA EID EL FITRI ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein baada ya kulihutubia Taifa...
View ArticleRais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ajumuika na waumini katika swala...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuikana Viongozi mbali mbali na Waislamu wengine katika swala ya Sunna ya Eid el Fitri ambayo huswaliwa...
View ArticleMabadiliko Ratiba ya Mazishi Ya Mhe. Beatrice Shelukindo - Sasa kufanyika...
Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zamani wa Kilindi sasa yatafanyika kesho siku ya Alhamisi tarehe...
View ArticleBw. Adam wa Adam Auto Garage ya mjini Tunduma mkoani Songwe aunda helikopta
Hata mbuyu ulianza kama uyoga. Na Bw. Adam wa Adam Auto Garage ya mjini Tunduma mkoani Songwe amedhihirisha hilo kwa kuunda helikopta inayotumia injini ya gari ambayo anasema anatarajia kuirusha siku...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ASALIMIA WANANCHI BAADA YA KUHUTUBIA BARAZA LA IDDI VIWANJA...
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria Baraza la Iddi alilolihutubia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam JulaiRais Dkt. John...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA BARAZA LA EID EL FITRI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikhe Aboubakar Zubeir wakati alipowasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza...
View ArticleMMG INAKUTAKIA IDD MUBARAK MDAU WA GLOBU YA JAMII WOTE POPOTE PALE ULIPO
Timu nzima ya Kampuni ya Michuzi Media Group (MMG) inawatakiwa Wadau wake wote popote pale mlipo, sikukuu njema ya Idd el Fitr na tuisherehekee kwa amani na mapenzi tele kama ilivyolekezwa katika...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA PANDAHILL PATAKAPOCHIMBWA MADINI ADIMU...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla mwenye Kaunda suti akitembezwa na mwenyeji wake Mkurugenzi wa kampuni ya Pandahil limited Bw. Derick ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya adimu aina ya...
View ArticleUsiku wa Wanyarwanda nchini Tanzania kufanyika Julai 9, Ukumbi wa Mwalimu...
Shirika la ndege la RwandAir likishirikiana na Jumuiya ya Wanyarwanda waishio nchini Tanzania wanakukarubisha kwenye usiku wa Tamaduni za Rwanda, utakaofanyika Julai 9, 2016 katika Ukumbi wa Mw....
View ArticleWAKINAMAMA DAKAWA WAFUGA NYUKI KUPAMBANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA
TAKRIBAN kilometa 10 kutoka Kijiji cha Dakawa kuna kitongoji cha Magogo kilichoko msituni kabisa ambako pia kuna mashamba ya mpunga.Msitu huu ambao bado ungali na miti mingi ya asili ambayo imenusurika...
View ArticleKIJIPU UPELE ENEO LA MAFIATI JIJINI MBEYA, TAA YA KUONGOZEA MAGARI YAPIGWA...
Huu ni Muendelezo wa Matukio Madogo Madogo yanayo endelea Kujitokeza katika eneo la Mafiati Mataa Jijini Mbeya ambapo ndipo Sehemu pekee kati ya Sehemu zote kwa Jiji zima kuwekwa Taa za kuongozea...
View ArticleDAKIKA 45 ZA KIPINDI CHA PILI ZAIPELEKA URENO FAINALI YA EURO 2016,YAILAZA...
Ulikuwa mtanange wa kukata na shoka wa nusu fainali ya michuano ya Euro 2016 inayotimua vumbi kule nchini Ufaransa kati ya Wales iliyokuwa ikiongozwa na Gareth Bale na Ureno ikiongozwa na Christian...
View ArticleWATANZANIA WASHEREHEKEA EID DMV
Ustaadh Ibrahim akianza kwa dua kwenye sherehe ya Eid ilizoandaliwa ma Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) na kuakaribisha Watanzania wote wakiwemo marafiki zao kwenye sherehe zilizofanyika siku ya Jumatano...
View ArticleShindano la Airtel Trace Music Stars Afrika kuonyeshwa leo kupitia chaneli ya...
Shindano la Airtel Trace Music Stars la Afrika lililofanyika nchini Nigeria linategemea kuonyeshwa live leo kupitia kituo cha television cha Trace chanel 325 saa tatu kamili usiku, katika shindano hilo...
View ArticleMWENYEKITI WA BODI YA NSSF, MSAJILI WA HAZINA NA KATIBU MKUU WIZARA YA...
Meneja kiongozi wa Masoko na Uhusiano Eunice Chiume akimpatia Maelezo juu ya Mradi wa Nyumba wa Kijichi Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Prof. Samwel Wangwe alipotembelea Banda la NSSF...
View ArticleKAIMU NAIBU MKURUGENZI WA TANESCO ATEMBELEA BANDA LA SHIRIKA HILO SABA SABA
Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Sophia Mgonja (wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AMTEUA DEOGRATIUS NDEJEMBI KUWA MKUU WA WILAYA YA KONGWA...
Bw. Deogratius John NdejembiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amemteua Bw. Deogratius John Ndejembi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani...
View Article