Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria Baraza la Iddi alilolihutubia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Julai
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na mtoto Asma Maulid baada ya kuhubia Baraza la Iddi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Picha na PMO