Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 119842

Usiku wa Wanyarwanda nchini Tanzania kufanyika Julai 9, Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam Julai 9, 2016

$
0
0
Shirika la ndege la RwandAir likishirikiana na Jumuiya ya Wanyarwanda waishio nchini Tanzania wanakukarubisha kwenye usiku wa Tamaduni za Rwanda, utakaofanyika Julai 9, 2016 katika Ukumbi wa Mw. Nyerere, Jijini Dar es salaam. Kutakuwepo na ngoma ya asili kutoka Rwanda na wenyeji hapa Tanzania.

Njoo ujionee na ujifunze mengi zaidi baina ya nchini hizi mbili.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 119842

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>