Ujue kwa Undani wa Unaoitwa Ukanda wa Gaza
Na Mchambuzi wetu Geofrey Chambua.Jana ziliripotiwa taarifa kupitia BBC kwamba ndege za kivita za Israeli zimetekeleza msururu wa mashambulizi ya asubuhi mapema huko Gaza Likishambulia maeneo manne...
View ArticlePSPF YASAJILI WANACHAMA WAPYA LUKUKI KWENYE MAONYESHO YA 40 YA BIASHARA YA...
Wanafunzi wa chuo Cha Uhasibu (TIA), jijini Dar es Salaam, wakipatiwa maelezo ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF walipotembelea banda la Mfuko huo lililoko jingo la Wizara ya...
View ArticleWATOTO WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA NEW HOPE FAMILY WAPATA MSAADA WA BAISKELI...
Mkurugenzi Mkuu wa maduka ya woolworths nchini ,Joehans Mgimba akisalimiana na baadhi ya Watoto wanaolelewa katika kituo cha New Hope Family Group, kilichopo Mwasonga Kata ya Kisarawe , Kigamboni...
View ArticleMkazi wa Mwanza ajishindia milioni 20 za promosheni ya Vodacom
Mkazi wa kitongoji cha Mkoani kilichopo Nyamagana jijini Mwanza,Shomari Almas ameibuka mshindi mwezi wa kitita cha shilingi milioni 20 kupitia promosheni ya ”Kamata Mpunga”inayoendeshwa na Vodacom...
View ArticleTAARIFA KAMILI YA MSIBA WA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KILINDI MAREHEMU...
Familia ya Bwana William H. Shelukindo, inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice Matumbo Shelukindo (pichani) kilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha. Mipango ya mazishi inafanyika...
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA MPIGANAJI MWENZETU OMAR MASOUD
Sehemu ya Waombolezaji waliojitokeza kumsindikiza Mpiganaji mwenzetu aliekuwa Mpiga picha wa Kampuni ya Azam Tv, Marehemu Omar Masoud aliefariki Dunia jana kwa ajali ya pikipiki aliyoipata eneo la...
View ArticleHAYAWI HAYAWI, SASA YAMEKUWA............ MDAU AVUTA JIKO
Hatimae mdau mkazi wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, amevuta rasmi jiko a.k.a mwandani wake baada ya kukaa vikao kwa muda mrefu na hatimae mambo yamejipa leo. hizi ni baadhi ya taswira mbalimbali za...
View ArticleBAADA YA KUWATOA WASHELISHELI, SASA SERENGETI BOYS KUKABILIANA NA MITIHANI...
Baada ya kuwatoa Shelisheli kwa jumla ya mabao 9-0 katika mechi zake mbili za kimataifa , timu ya soka ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, imebakiza mitihani miwili kabla ya...
View ArticleKLABU YA GOLF YA JWTZ LUGALO YAPATA UONGOZI MPYA
Na Selemani Semunyu - JWTZKLABU ya Golf ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo Jijini Dar es Salaam imeahidi kuendeleza Uwanja na klabu hiyo na kuwa na mafanikio makubwa kimataifa...
View ArticleSIMU TV: Wakazi wa Chamazi Walia na TANESCO
BOFYA HAPA KWA HABARI MBALIMBALI TOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI
View ArticleBINTI WA MCHUNGAJI DANIEL KULOLA WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA...
Bwana Harusi, Richard Jeremiah Gwapulukwa (kushoto) wa Kasamwa mkoani Geita, amefunga ndoa na Happness Daniel Kulola (kulia) ambae ni binti wa Mchungaji Dkt.Daniel Moses Kulola wa Kanisa la EAGT Lumala...
View ArticleBalozi Wilson Masilingi, azungumza na Watanzania wa Jumuiya ya Kiislamu...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.Wilson Masilingi, kizungumza na Watanzania wa Jumuiya ya Kiislamu waishio Washington DC (TAMCO) mara baada ya Iftar ilioandaliwa rasmi na jumuiya hiyo Siku ya...
View ArticleAMEPOTEA ! ANATAFUTWA NA FAMILIA YAKE
Bwana Philemon Anamwikira Ikaa Munuo, Anayeoneka Kwenye Picha Hapo juu anaitwa Philemon Anamwikira Ikaa Munuo, umri miaka (61) ametoweka kuuanzia siku ya juma tano tar.29.06.2016 Nyumbani kwake Bunju B...
View ArticleKocha wa kimataifa wa kuogelea asema siku moja Tanzania itatoa mabingwa wa Dunia
Wakufunzi wa kimataifa wa mchezo wa kuogelea wa klabu bingwa ya Mashariki ya Kati (Middle East) ijulikanayo kwa jina la Hamilton Aquatics ya Dubai, Nebojsa Durkin ma Katy Morris wamesema kuwa Tanzania...
View ArticleMAJALIWA AFUTURU KATIKA MSIKITI WA KHOJA SHIAITHNA-ASHERI -DAR ES SALAAM.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam wakati alipowasili msikitini hapo kushiriki katika fuatari Julai 3, 2016. Kushoto...
View ArticleTANGAZO LA KIFO
Marehemu Mr. Amani Mshana (1982 – 2016)Mkurugenzi wa Halimashauri ya Wilaya ya Misungwi Bwana Nathan Mshana anasikitika kutangaza kifo cha mototo wake AMANI MSHANA, kilichotokea jumapili tarehe...
View ArticleTASWIRA KUTOKA WILAYANI KARAMBO MKOANI RUKWA.
Baadhia wakina Mama Wajasiliamali wafanyao Biashara zao kandokando ya Barabara ya kuelekea Bandari ya Kasanga kutokea Sumbawanga Mjini wakiwa katika Eneo lao la Biashara kama ambavyo waonekanavyo hapo...
View ArticleNDG. PHILBART GWAGILO ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE.
Jina: Philbart Patrick GwagiloUmri miaka kwa sasa 29 alipotea akiwa na umri wa miaka 27.Kabila: MuhaDini: MkristoMkoa alipozaliwa: Kigoma Wilaya ya Kasuru.Maeneo anayopenda kutembelea: Sinza, Kibamba...
View Article