SHIRIKA LA TAIFA LA BIMA (NIC ) KUANZISHA BIMA YA KILIMO.
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango- Hazina Ndugu Dotto Mgosha James akipokea zawadi toka NIC iliyokabidhiwa na Mkuu wa kitengo cha Mahusiano , Mwanaidi Shemweta. NIC ilishiriki maonyesho ya...
View ArticleMAAJABU YA KONOKONO.
Na Geofrey Chambua.1. Konokono ni mdudu asiye na mfupa hata mmoja mwilini mwake na kazi kubwa ya jumba lake ni kumsaidia mwendo na kuulinda mwili wake na mawaa.2. Konokono wanamiliki JINSI MBILI zote...
View ArticleWAKUU WA WILAYA WA MKOA WA KAGERA WAAPISHWA LEO
Wakuu wa Wilaya wa Wilaya za Mkoa wa Kagera wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Kagera Meja jenerali Mstaafu Salimu Kijuu mara baada ya kula kiapo.Picha na Editha Karlo wa blog ya...
View ArticleMFALME WA AFRO POP TWENTY PERCENT ARUDI KWENYE GEMU NA SAUTI YA GHARAMA
Na Sultani KipingoMfalme wa Afro Pop nchini Abbas Hamisi Kinzasa almaarufu kama 20% (Twenty per Cent) anavunja ukimya na kurejea kwa kishindo kwenye anga ya muziki, huku akiwa msanii wa kwanza kusaini...
View ArticleRC MWANZA JOHN MONGELLA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA NDANI YA JIJI LA MWANZA
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, amewaapisha wakuu wapya wa Wilaya za Mkoa wa Mwanza na kuwapa vitendea kazi ikiwapo katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Ilani ya Chama Tawala Chama Cha...
View ArticleBENKI YA NBC ILIVYOWAANDALIA WATEJA WAKE FUTARI MIKOA MBALIMBALI NCHINI...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Singida, Saidi Amanzi akikabidhi kitabu kwa Mwenyekiti wa BAKWATA Singida, Sheikh Hamis Mohamed Kituke (kulia) wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC kwa...
View ArticleRC MAKONDA AWATAKA WAKUU WAPYA WA WILAYA JIJINI DAR KUJITUMA, ATAKAYESHINDWA...
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaagiza wakuu wapya wa wilaya za Mkoa wa Dar es salaam kufanya kazi kwa kujituma katika kuwatumikia wananchi na...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA YATOA TATHMINI YA HALI YA UHALIFU MKOANI HUMO.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi.Na Mwandishi wetu. MKOA wa Mwanza kwa kipindi chaa mwezi Juni mwaka huu umekuwa shwari ikilinganishwa na ya mwezi mei mwaka huu. katika matukio ya...
View ArticleBALOZI WA KOREA, SONG GEUM-YOUNG ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO.
Balozi wa Korea, Song, Geum-young akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Museru baada ya balozi huyo kumtembelea mkurugenzi huyo LEO. Mazungumzo hayo...
View ArticleKAMPUNI YA LETSHEGO YASHEREKEA MIAKA 10 YA UTOAJI WA HUDUMA ZA KIJAMII HAPA...
Afisa Mtendaji Mkuu wa faidika, Mbuso Dlamini akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa hafla ya kusherekea miaka kumi ya letshego Tanzania limited jijini Dar es Salaam...
View ArticleVODACOM NA TECNO WAZINDUA SIMU MPYA (SMARTPHONE) YA TECNO CAMON C9
Mkuu wa Vodacom Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Domician Mkama akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa Tecno Camon C9 ambayo itapatika kwenye maduka yote ya Vodaco yalipo...
View ArticleONGEZEKO LA WATOTO WA MTAANI LAKITHIRI MJINI SUMBAWANGA.
Watoto wa Mtani Mjini Sumbawanga Wakithili, Kuwa wengi na wanao ongezeka kwa kasi katika Mji wa Sumbawanga, Globu ya Jamii kupitia Ripota wetu kuzunguka katika Mji huo wa Sumbawanga Mjini na kujionea...
View ArticleRC MAKONDA ALITOLEA UFAFANUZI SWALA LA MIPAKA YA KAZI YA MEYA NA MKUU WA WILAYA
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa mwingiliano wa kazi kati ya Mameya na wakuu Wilaya husababisha kushindwa kuelewana.Makonda ameyasema hayo leo wakati wa hafla ya kuwaapisha...
View ArticleMOBISOL INTRODUCES LARGEST SOLAR HD TV IN EAST AFRICA DISPLAYED AT SABASABA FAIR
His Excellence Egon Kochanke Ambassador of the Federal Republic of Germany learning about Mobisol's high quality solar appliances and HD solar Tv at Saba Saba Trade Fair. Saba Saba visitor learning...
View ArticleNEWS ALERT: WATU 24 WAFARIKI DUNIA KATIKA TUKIO LA AJALI YA MABASI MAWILI YA...
Taarifa iliyotukikia chumba chetu cha habari muda huu, inaeleza kuwa ajali mbali iliyohusisha mabasi mawili ya abiria, imetokea katika eneo la Manyoni Mkoani Singida na kupelekea vifo vya abiria 24...
View Articlemahakama yawataka Wabunge Halima Mdee na Mwita Waitara kuheshimu taratibu za...
Na Mwene Said,Globu ya Jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imetoa onyo kwa Wabunge Halima Mdee (Kawe) na Mwita Waitara (Ukonga) kwa kushindwa kufika mahakamani kusikiliza kesi...
View ArticleRAIS DKT.MAGUFULIA AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA 29 WALIOPOTEZA...
Baadhi ya wananchi wakisaidia kuokoa watu waliopata ajali katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya abiria, ambayo imetokea katika eneo la Manyoni Mkoani Singida na kupelekea vifo vya abiria papo...
View ArticleTANAPA YAFUNGUA OFISI JIJINI DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi (katikati), akikata utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa Ofisi ya Tanapa jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu...
View ArticleMULTICHOICE TANZANIA YATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA WATOTO...
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya kusherekea sikukuu ya Eid El Fitri, Kampuni ya Multichoice Tanzania ambao ndiyo wasambazaji wa ving'amuzi vya DSTV nchini imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa...
View ArticleMSAMA AWAFARIJI WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa zawadi za vitu mbalimbali kwa vituo 6 vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu...
View Article