kumbukumbu
DR. FRANCIS MW. MSELLEMUBaba, ni miaka 17 sasa tangu ulipotuacha!Haijawahi kuwa rahisi kwetu, kwani kila iitwapo leo machungu na majonzi yetu ni kama jana.Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia...
View ArticleWillem-Alexander Becomes new Dutch king after Queen Beatrix abdicates
Queen Beatrix of the Netherlands has handed the throne to her son Prince Willem-Alexander.Queen Beatrix, 75, signed the instrument of abdication in Amsterdam after 33 years on the...
View ArticleMH. MWANTUMU MAHIZA ATEULIWA KUWA SKAUTI MKUU TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Mwantumu Bakari Mahiza kuwa Skauti Mkuu nchini.Kwa mujibu wa barua ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi...
View ArticleMuheshimiwa Magufuli umewaona hawa??!
Wakati Serikali ikipoteza mabilioni ya Pesa kwa utengenezaji na ukarabati wa barabara kila kona ya nchi, baadhi ya wananchi wachache wa Maeneo ya Kitunda Relini Kona ya Kizuiani kama inavyoonekana...
View ArticleMgahawa wa KFC wazindua tawi lake jijini Dar leo.
Pichani kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KFC-Tanzania,Bwa.Simon Schaffer akizungumza na Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),mapema leo jijini Dar,kuhusiana na uzinduzi wa tawi lao...
View ArticleWestminister Abbey waiombea Tanzania
Urban Pulse Creative inakuletea taswira kutoka Westminister Abbey jijini London katika misa maalum ya kuombea amani nchi yetu ya Tanzania siku ya muungano iliyofanyika ijumaa tarehe 26.4.13. Balozi...
View ArticleMAALIM SEIF AFUNGUA MAONESHO YA BIASHARA ZANZIBAR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akifungua maonyesho ya nne ya biashara na huduma katika viwanja vya Amaan, ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi...
View Articlewanajeshi kutoka nchini Nigeria watembelea wizara ya Habari
Katibu Mkuu wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sethi Kamuhanda (kulia) akiangalia picha ya nembo ya chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha nchini Nigeria aliyopewa na Mkurugenzi wa kikosi cha...
View ArticleJAJI MKUU WA TANZANIA AMTEMBLEA SPIKA WA BUNGE OFISINI KWAKE DODOMA LEO
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman alipofika kumtembelea Ofisini kwake Dodoma leo na kufanya nae mazungumzo. Spika wa Bunge Mhe. Anne...
View ArticleFoleni ya leo jijini DAr ilikuwa ni ya balaa
Maeneo mbali mbali ya jiji la Dar siku ya leo yalikuwa hayapitiki kabisa kutoka na foleni kubwa ambayo haikufahamika ilianzia wapi,maana si njia za barabarani wala za mitaani zilizokuwa...
View ArticleZIARA YA DKT.SHEIN,WILAYA YA KUSINI UNGUJA LEO
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa Tawi la CCM Mzuri wilaya ya Kusini...
View ArticleRoll Like Dem- Mish Da Fyah Sis
Salam,Urban Pulse wanakuletea music video ya msanii Mish Da Fyah Sis inayokwenda kwa jina la Roll Like Dem ikiwa ni single ya kwanza ya album yake itakayo kuja hivi karibuni.Urban Pulse Creative is...
View ArticleNgoma azipendazo ankal
Ngoma ya 'Mume Bwege' ya Bushoke sio tu ilifurahisha bali pia ilikuna vichwa na kumtoa kijana huyu
View ArticleKUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII
Mnara wa Askari jijini Dar es salaam enzi hizi na hizi sasa.Hii ni kumbukumbu ya askari jeshi waliopigana katika vita ya kwanza ya dunia inayosimama kuangalia bandari ya jiji hilo. Ilizinduliwa mwaka...
View Articlekumbukumbu
Bwana na Bibi Kanza.Wapendwa wetu, ilikuwa siku, wiki, mwezi na hatimaye tarehe 01/05/2013 mmetimiza miaka minne (4) toka mtutoke kwa ajali ya gari katika hii dunia. Tunafarijika kwa sababu tuna Imani...
View ArticleTANZANIA ILIVYOSHIRIKI MASHINDANO YA KUOGELEA NCHINI ZAMBIA
Habari na Picha na Ramadhan K. NamkovekaTimu ya Tanzania ya kuogelea imerudi jjumatatu saa 1.30 usiku ikitokea Lusaka, Zambia, baada ya kushiriki mashindano ya CANA kanda ya tatu na nne...
View ArticleMchora vibonzo Nathan Mpangala aka Kijasti atua New York, Marekani
Mchora vibonzo Nathan Mpangala aka Kijasti, (wa pili kulia) akishiriki mafunzo ya utengenezaji video fupifupi zihusuzo migogoro isiyo na mapigano iliyofanyika mwezi uliopita nchini Mexico. Mafunzo hayo...
View Article