Open Sanit, MSA brings safety guard products in Tanzania
MSA Segment Leer for Sub Saharan Africa Mbuwa Ngomani (left) gives a special gift to Junaco Angela Limited Human Resource Angela Rwehumbiza at the ceremony, on the centre of the picture is Open...
View ArticleAIPS yaahidi kusaidia mafunzo kwa waandishi wa habari za michezo wa Tanzania
CHAMA cha Kimataifa cha Waandishi wa Habari za Michezo (AIPS),kimeahidi kusaidia masuala mbalimbali yahusiyo mafunzo kwa waandishi wa habari za michezo wa Tanzania.Rais wa AIPS,Gianni Merlo raia wa...
View ArticleMKUTANO WA TUICO MOROGORO WAFANYIKA MKOANI MOROGORO
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stella Manyanya, akilakiwa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri, TUICO, katika ukumbi wa Midland Inn,...
View ArticleMTANANGE KATI YA WAFANYAKAZI WA NSSF NA WADAU WA GYMKHANA
Kikosi Kamili cha timu ya soka ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mcherzo wa na Gymkhana jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya mabao 3-3Kikosi cha...
View ArticleTamasha la Exel with Grand Malt lazinduliwa jijini Dar
Meneja masoko wa kampuni ya bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttala akizungumza na wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha la uzinduzi wa kampeni ya kinywaji cha Grand Malt ya...
View ArticleTRL KUANZA TENA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KESHO JUMATATU APRILI 22, 2013
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unafuraha kuwataarifu wateja wake na wananchi kwa ujumla kuwa huduma ya usafiri wa treni ya Jiji ambao ulikuwa umesitishwa kwa wiki tatu zilizopita kuanzia...
View ArticleBalozi Kamala akutana na Rais wa Jumuiya ya Ulaya
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Kamala akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Ulaya Mhe. Herman Van Rompuy,alipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni.
View ArticleKinana na nape waiteka morogoro katika mkutano wa kuhitimisha ziara yao...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, nape Nnauye wakiingia katika Uwanja wa Mkutano wa hadhara wa Kiwanja cha Ndege, mjini Morogoro, leo Baadhi ya maelfu ya...
View ArticleSHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANZANIA Mjini Koloni, Ujerumani Jumamosi...
Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania nchini Ujerumani Bw. Mfundo Peter Mfundo (pichani) anayofuraha kubwa kuwakaribisha watanzania na marafiki wa Tanzania kutoka pembe mbali mbali za Dunia katika...
View ArticleKilaji cha Redd's chapambisha shindano la Redds Miss Arusha City Centre 2013.
Warembo wa shindano la kumtafuta mshindi wa shindano la Redd's Miss Arusha City Centre wakiwa katika mazoezi ya pamoja kujiandaa na shindano lao ambapo jumla ya warembo ishirini na mbili wanatarajiwa...
View ArticleRais Kikwete akagua Ujenzi Nyumba za Waalimu Mboga Sekondari
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa nyumba za waalimu katika shule ya Sekondari ya Mboga, iliyopo kata ya Msoga wilayani Bagamoyo le Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza jambo...
View ArticleOFID YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 18.42 KUSAIDIA MRADI WA MAJI MKOANI...
Serikali ya Tanzania yasaini mkataba wa jumla ya dola za kimarekani milioni 16 kusaidia mradi wa maji Orkesumet mkoani Manyara. Mkataba huo umesainiwa leo kati ya Serikali ya Tanzania na OPEC Fund For...
View ArticleNyumba za bei nafuu za shirika la nyumba la taifa kigamboni
Nyumba hizi ambazo tayari zote zimeshauzwa (BOFYA HAPA), ziko eneo la Kibada. Kigamboni Housing Estate ipo Kigamboni katika eneo linalofikika kirahisi, kilomita 17 kutoka Feri. Kigamboni Housing...
View ArticleSensei Rumadha Fundi aka Romi (3rd Dan black belt) mtaalamu wa kujivunia
Tunapozungumzia watanzania waliozaliwa na vipaji na kufanikiwa kuvipigania na kuviendeleza vipaji hivyo hadi kufikia kiwango cha kimataifa jina la Sensei Rumadha Fundi aka Romi (pichani) hatuwezi...
View ArticleNgoma azipendazo Ankal
Jabali la Muziki Marijani Rajabu na Dar International walikuwa hawashikiki enzi hizo. Sikiliza ngoma hii ya 'Ndoa ya Mateso'
View ArticleMiss Tabata kufanyika Mei 31
Miss Tabata na Ilala 2012 Noela Michael Shindano la kumsaka mrembo wa Tabata, Miss Tabata 2013, litafanyika Mei 31 katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata.Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema...
View ArticleTaswira za Komba Discotheque ya Bwawani hotel, Zanzibar
Komba disco katika hoteli ya Bwawani huvuta wapenzi wengi wa muziki kila weekend Ndani ya Komba Disco panapendeza
View ArticleZanzibar by night
Ni sehemu za Shangani na muda ni saa tisa alfajiri na mtaa uko kimyaaaa. Ngoja pakuche.....
View Article