$ 0 0 Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Kamala akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Ulaya Mhe. Herman Van Rompuy,alipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni.