sehemu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam - UDART
Moja ya barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka (BRT).Moja ya vituo vitakavyotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka pindi mradi utakapo kamilika kwa ajili ya kubeba abiria.Kituo cha mabasi...
View ArticleWAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akipungia mkono wakazi wa mkoa wa Lindi mara baada ya kuwasili mkoani humo ikiwa ndio ziara yake ya kwanza tangia kuteuliwa...
View Article4th EAC UNIVERSITY STUDENTS DEBATE KICKS OFF IN KAMPALA
The Prime Minister of the Republic of Uganda, Rt. Hon. Dr. Ruhakana Rugunda has hailed the EAC Secretariat and various partners for creating a platform for young people to discuss their role in the...
View ArticleWAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).
Mkuu wa Mkoa wa kigoma akiwaeleza wafanyabiashara(ambai hawapo pichani) wa Kigoma umuhimu wa kujiunga na mfuko wa bima ya afya(NHIF) Ofisa matekelezo kutoka mfuko wa bima ya afya Kigoma Evance...
View ArticleMAHAFALI YA KUMI NA MOJA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR "SUZA"
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatama na Viongozi wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha...
View ArticleOFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME...
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyekaa) akipata maelezo kuhusu namna Kituo cha Kihansi kinavyofanyakazi kwa kutumia teknolojia ya kisasa ambayo...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AWAONYA WATUMISHI WA SERIKALI, AWASILI KIJIJINI KWAKE...
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na wapigakura wke baada ya kuwasili kijijini kwake Nndagala wilayni Luangwa kwa mapumziko mafupi Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri...
View ArticleWAZIRI UMMY MWALIMU KATIKA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO MKOANI TANGA,...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wakina mama anayemhudumia mwanae katika wodi ya watoto Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga...
View ArticleKAMPUNI YA ULINZI YA SGA YATOA MSAADA WA MASHINE YA KUPUMULIA NA MASHUKA WODI...
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ulinzi ya Security Group Africa (SGA), Eric Sambu (kulia) akimkabidhi mshine ya kupumulia na mashuka, Mratibu wa Tiba katika Hospitali ya Mwananyamala, Dk Daniel Nkungu....
View ArticleMdau Yassin Shabani Kweka na Rehema Kasirika wameremeta jijini Arusha
Ndoa ya Bw. Yassin Shabani Kweka wa Maili Sita mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na bi Rehema Kisarika wa Mbauda jijini Arusha. Ndoa ilifungwa nyumbani Kwa mama Rehema tarehe 19/12/2015. Bwana harusi...
View ArticleCOASTAL UNION, JKT RUVU ZATOKA SARE YA 2-2
Golikipa wa JKT Ruvu, Shaban Dihile akipishana na mpira uliopigwa na mchezaji wa Coastal Union, Nassoro Kapama katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume...
View ArticleMBEYA CITY NA MGAMBO JKT ZATOKA NGOMA DROO 1-1
Mbeya city yatoka sale na Mgambo Jkt kwa mabao ya goli 1-1 ambapo Goli la Timu ya Mbeya City Fc lilifungwa na Abdalla Juma Dakika ya 30 huku Fully Zullu Maganga akisawazisha na kuipatia Goli Timu ya...
View ArticleCHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA CHAFANYA MAHAFALI YA KWANZA YA SHAHADA...
Na Emmanuel Ghula –NBS Serikali imevitaka vyuo na taasisi za elimu nchini kuhakikisha vinatoa mafunzo bora yanayoendana na mahitaji ya soko la ajira. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika mahafali ya...
View ArticleJUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO-TANZANIA
Bw. Noel Kaganda, Afisa Mwandamizi, Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akizungumza kwa niaba ya Tanzania wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipokutana mwishoni mwa...
View Article