NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA OFISI YA BODI YA...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani ameitaka Bodi ya Mfuko wa Barabara kutotuma fedha za ujenzi wa barabara kwa halmashauri yoyote nchini ambayo imetumia fedha...
View ArticleWAZIRI KITWANGA ALA KIAPO CHA KUWA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto)...
View ArticleWAZIRI MAHIGA MKOANI KUFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga atafanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Arusha kuanzia leo Jumamosi tarehe 19 Desemba...
View ArticleSIMU TV: DONDOO ZA MAGAZETI LEO
SIMU.TV: Waziri awafungia geti wafanyakazi wa wizara. 12 wafariki ajali ya basi la New Force. CHADEMA yazungumzia kasi ya rais Magufuli;https://youtu.be/oZYeH59y4SI SIMU.TV: Watumishi waliotumia...
View ArticleNaibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji atembelea Mamlaka ya...
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu KijajiNaibu Waziri wa Fedha akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi pamoja na menejimenti ya TRA. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bw. Benard...
View ArticleKIGOMA UJIJI YAPATA MEYA TOKA ACT Wazalendo.
Madiwani wa Manispaa ya Kigoma ujiji wakiwa katika picha ya pamoja .Mwenyekiti wa uchaguzi wa Meya na Naibu meya mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe akitoa maelezo ya awali kabla ya uchaguzi. Meya wa...
View ArticleRais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi Rais Kikwete kwa kufiwa na Dada yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada...
View ArticleCHINA YASAIDIA VITANDA 60 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA KWA MKOA WA LINDI
Balozi wa China nchini Dk. Lu Youqing akiangalia baadhi ya vitanda ambavyo vimekabidhiwa kwa mkoa wa Lindi kwenye hafla fupi iliyofanyika kwenye hospitali ya mkoa wa Lindi Sokoine. Waziri wa Habari,...
View ArticleRais Magufuli atuma salamu za rambirambi Ajali ya Basi la New Force Iringa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi. Amina Masenza kufuatia ajali ya basi la kampuni ya New Force kugongana na...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA
Familia ya Bw. Mgalula Fundikira inasikitika kuwataarifu ndugu, jamaa na marafiki kuwa mwanawe Mlawila (Lawi) Fundikira (18) (pichani) amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Taifa...
View ArticleNEC yatangaza Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi tarehe 20...
Na Joseph Ishengoma, MAELEZOMajimbo ya Masasi Mjini mkoani Mtwara na Ludewa mkoani Njombe yanatarajia kufanya uchaguzi wa wabunge kesho (20.12.2015) ili kuwapata viongozi watakaoongoza majimbo hayo kwa...
View ArticleJESHI LAWASAKA WALIOENEZA TAARIFA ZA UZUSHI MITANDAONI
Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo katika...
View ArticleLigi Kuu ya Muungano ya Netiboli yaendelea Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar
Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.Mchezaji wa...
View ArticleMRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (DART) KUANZA JANUARI 10, 2016.
MRADI wa Mabasi yaendayo haraka (BRT) kuanza Januari 10, 2016 hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa wakati akikagua ujenzi wa miundo mbinu ya Mradi wa Mabasi yaendayo haraka leo jijini...
View ArticleWATAOPEWA FEDHA ZA ELIMU BURE WATAKIWA KUWA NA UADILIFU NA UAMINIFU –SHIRIKISHO
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiSHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), limesema kuwa waliopewa wajibu wa kusimamia fedha za elimu bure wanatakiwa uaminifu na uadilifu...
View ArticleNAIBU WAZIRI DKT. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA LEO KATIKA HOSPITALI...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na duka la dawa kwa wagonjwa wanaotumia huduma ya bima ya afya katika Hospitali ya Ligula ya mkoa...
View ArticleLONGHORN PUBLISHERS WAKIZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI KUTOKA BAKITA
Mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kamusi ya kiswahili huku akishuhudiwa na mwenyekiti wa TAHOSSA Taifa Bonus Ndimbo katika ghafla...
View Article