Moja ya barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka (BRT). |
Moja ya vituo vitakavyotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka pindi mradi utakapo kamilika kwa ajili ya kubeba abiria. |
Kituo cha mabasi yaendayokasi cha Kangwani jijini Dar es Salaam ikiwa ni moja ya vituo vitakavyotumika na mabasi hayo tarehe 10 Januari, 2016. |
Mabasi yaendayo kasi yakiwa tayari kwa kuanza safari za kubeba abiria ifikapo tarehe 10 Januari, 2016. Picha zote na Abraham Nyantori - MAELEZO |