Rais Magufuli atuma salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Askofu Nkalanga
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAKURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULUSimu: 255-22-2114512, 2116898E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti : www.ikulu.go.tz Faksi: 255-22-2113425OFISI YA RAIS,...
View ArticleOFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME...
Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Florence Mwanri (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia na kupata maelezo kutoka kwa Injinia wa kituo Bw. Rajabu Kindunda (wa tatu kulia) kuhusu Bwawa...
View ArticleBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN MAALIM DR ALI AHMED SALEH ALAMBA NONDOZ YA...
BALOZI, MAALIM DR. ALI AHMED SALEH AKISIDINDIKIZWA NA MSIMAMIZI WAKE WA MASOMO(SUPERVISOR) PROF. HOSSEA RWEGOSHORA KUPOKEA SHAHADA YAKE YA PhD.
View ArticleTanzanite iliyokamatwa KIA yafikia Dola za Marekani milioni 1,207,990
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Omar Chambo (wa pili kulia) akitembelea baadhi ya vitalu vya uchimbaji madini ya Tanzanite katika eneo la Mirelani mkoani Manyara mara baada ya kumaliza...
View ArticleAirtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa wateja
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayoongoza kwa kutoa huduma za kibunifu imetunikiwa tuzo mbili za ubora za Tanzania Leadership Awards 2015 katika halfa iliyofanyika katika hotel ya Hyatt jijini...
View ArticleBILIONI 137 ZIMETENGWA KWA AJILI YA ELIMU YA BURE - WAZIRI MKUU
SERIKALI imekwishatenga kiasi cha sh. bilioni 137 kwa ajili ya kugharamia utoaji wa elimu ya bure kuanzia Januari hadi Juni, mwakani.Kauli hiyo imetolewa jana jioni (Jumapili, Desemba 20, 2015) na...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya shati la asili la Wamwera na Mzee Saidi Issa Hanga katika mkutano wa hadhara aliouhutubia mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. Waziri Mkuu, Kassim...
View ArticleGEPF WATOA MSAADA KWA TAASISI YA ALLIANCE FOR SOCIAL ALLEVATION (ASE)
Meneja wa GEPF mkoa wa Kinondoni, Mohammed Nyallo akikabidhi vifaa (computers, printers na camera) kwa Bi Tipwa Mapunda kiongozi mwandamizi wa ASE taasisi ya vicoba ambayo ina wanachama katika Mfuko wa...
View ArticleAsilimia 49 kati ya asilimia 100 ya uchunguzi wa DNA yaonyesha baba si mzazi...
Na Beatrice Lyimo-MaelezoAsilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka...
View ArticleSHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LATANGAZA KUSAMBAZWA KWA BOEING 787S KWA SAFARI...
SHIRIKA la ndege la Etihad, ndege rasmi ya taifa kwa Falme za kiarabu limetangza kuanzisha mipango ya kurusha ndege aina ya boeing 787s kwa safari za kwenda Dusseldorf, Perth, Shanghai, Istanbul na...
View ArticleKUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII
Abiria wa Treni ya Reli ya kati inayofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Kigoma, wakimuangalia mmoja wa abiria mwenzao akiwa nje ya Treni hiyo wakati ikiendelea na safari, kwa madai ya...
View ArticleMAITI ZALAZWA SAKAKFUNI HOSPITALI YA MAFINGA
Udogo wa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Mafinga yalazimu wahudumu wa hospitali hiyo kulaza maiti sakafuni.
View ArticleWASHINDI 16 WAPATIKANA KATIKA DROO YA AIRTEL MKWANJIKA
Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (katikati) akiongea namoja ya washindi kupitia simu ya mkononi wakati wa kuendesha droo yakwanza ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 16...
View ArticleORODHA YA WAUZA DAWA ZA KULEVYA HAINISADII-KITWANGA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu wakati alipokuwa anawasili Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NJE AKAGUA UJENZI WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA JIJINI...
Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa akipata maelekezo ya ziada kuhusu ujenzi wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa kwenye eneo la...
View ArticleMBUNGE WA MLALO ATIMIZA AHADI YAKE KWA WANAMLALO
Katika utekelezaji wa ahadi zake Mbunge wa jimbo la Mlalo Rashid Shangazi amekabidhi mabati 40 ya geji 28 kwa wanajimbo la Mlalo kwaajili ya kwa ajili ya jengo la Maabara shule ya Sekondari Mtae...
View ArticleWANAOTAKIWA KUSTAAFU WASIPEWE MIKATABA YA KUENDELEA NA KAZI SERIKALINI - MH....
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akitoa maelekezo kwa watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu-Utumishi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI...
View ArticleTSHABALALA AKABIDHIWA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.MSHINDI wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed...
View Article