SERIKALI WILAYANI CHUNYA KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WAJIPANGA KUTATUA KERO ZA...
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Elias John Tarimo akizindua Mradi wa Kisima cha Maji Kijiji cha Ngwala Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya kilicho jengwa na Kampuni ya utafiti wa madini yaPeak Resources Katika...
View ArticleRAIS AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Tonia Kandiero Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleMerry Christmas, Happy New Year & Season Opening Hours
Nabaki Afrika Ltd would like to thank you for a wonderful year. We wish you a Merry Christmas and a Happy 2016.Our head office and branches will be closed for:Christmas - 24th, 25th, and 26th...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE...
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21,...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAALIM SEIF SHARIF HAMADI IKULU JIJINI DAR LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikulu jijini Dar es Salaam na...
View ArticleMADEREVA WAHIMIZWA KUTOTUMIA KILEVI WANAPOENDESHA MAGARI
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma,SSP Nuru Selemani akiwakiwaelimisha abiria ndani ya basi lilofanya safari zake mikoani ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya”Wait to...
View ArticleVYAKULA VINAVYOONGOZA KUONGEZA AKILI KWENYE UBONGO
#AfyaYako Vyakula Vinavyoongoza kuongeza AKILI kwenye ubongoIfuatayo ni orodha ya vyakula ambavyo vinaongoza kwa kuimarisha utendaji kazi mzuri wa ubongo:1.MAFUTA YA SAMAKISamaki na Mafuta ya samaki...
View ArticleNAIBU WAZIRI MH. SELEMANI JAFO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI WA...
Naibu waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani Jafo akipata maelezo kutoka kwa kaimu meneja mafao wa LAPF Bw. Amani Sindato akionyeshwa mafaili ya wanachama wanaostaafu...
View ArticleTANZANIA BECOMS A POPULAR CRUISE TOURISM DESTINATION
Dar es Salaam Tourism is getting a boost following another luxury cruise ship which docked in Dar es Salaam Port on Monday December 21, 2015 with more than 450 tourists and crew. MS Nautica, which is...
View ArticleMHE. JENISTA AAGIZA KAMATI ZA MENEJIMENTI YA MAAFA NCHINI KUWATAKA WANAOISHI...
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Kazi na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akitoa maagizo ya utekelezaji kwa Kamati za maafa katika ngazi zote nchini kuhusu tahadhari ya...
View ArticleTASAF YATOA VYETI KWA WAFANYAKAZI WAKE BORA WA IDARA ZA TAASISI HIYO KWA...
Mkurugenzi wa TASAF ,Bwana Ladislaus Mwamanga (picha zifuatazo)akiwatunuku vyeti wafanyakazi bora wa idara mbalimbali za taasisi hiyo kwa mwaka 2015. Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,Bwana Ladislaus...
View ArticleBENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU UBORA WA HUDUMA YAKE YA ISLAMIC BANKING KWA...
Meneja Uendelezaji wa Biashara wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kulia), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo kuhusu huduma za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu (Islamic Banking)...
View ArticleURUWA WAOMBA KUKUTANA NA VIONGOZI WA ZAC, CUF,CCM NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA...
Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viongozi wa mashirkiano ya umoja wa vyama vya UDA, TADEA,UDP,UPDP,na SAU kwa kuwaomba viongozi wa...
View ArticleMalope kuwasili Alhamisi wiki hii tayari kwa Tamasha la Krismasi
MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Afrika, Rebecca Malope anatarajia kuwasili nchini kesho saa tisa alasiri kwenye uwanja wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya...
View ArticleKOMBE LA FA KUENDELEA LEO
Michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa pili unaendelea leo kwa mchezo mmoja kuchezwa mmoja katika uwanja wa Majimaji mjini Songea kati ya JKT Mlale dhidi ya Mighty...
View ArticleIGWUTA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KAZI ZAKE
Na Zainabu Hamis wa Globu ya Jami.CHAMA cha wafanyakazi wa viwanda na sekta mbalimbali(IGWUTA) champongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli (Pichani)kwa namna na...
View ArticleBENDI YA FM ACADEMIA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA MKOA WA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE
Mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba Akiwa anaimba mbele ya washabiki wake waliouthuria onyesho la bendi hiyo lililofanyika ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la ArushaWanenguaji wa bendi...
View Article