SIMU TV: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AACHIA UBUNGE CCM NA HABARI ZINGINE
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
View ArticleDC WA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika...
View ArticleKAMPUNI YA SIMU YA TTCL YATOA BATI 100 KWA SHULE MBALIMBALI MKOANI NJOMBE
Naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto Dkt Shirika la mawasiliano la TTCL Tanzania limekabidhi jumla ya bati 100 zenye thamani ya shilingi Milioni mbili kwa Mbunge wa viti maalumu mkoa wa...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha , Fidelis Lumato akikata utepekuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtelkatika kijiji cha Nduruma, wilayani Arumeru Mkoani Arusha...
View ArticleKMKM YALALA KWA BAO 3-1 DHIDI YA GOR MAHIA YA KENYA
Beki wa Timu ya Gor Mahia ya Nchini Kenya, Harun Shakava (18) akizuia mpira uliokuwa ukimilikiwa na Kiungo wa Timu ya KMKM ya Zanzibar, Iddi Kambi Iddi (6) wakati wa mtanange wa Mashindano ya Cecafa...
View ArticleZIFF KUONESHA filamu ya "I SHOT BI KIDUDE" usiku wa Jumapili Julai 26 Saa...
‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’ Andy Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya Kijana Mtengenezaji wa filamu...
View ArticleBREAKING NEWSSSSS: MAJAMBAZI WALIOVAMIA KITUO CHA STAKI SHARI WATIWA MBARONI,...
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiJESHI la Polisi Kanda Maalum ya jiji la Dar es salaam limefanikiwa kuwatia mbaroni Watu wawili wanaotuhumiwa kuwa Majambazi waliovamia Kituo cha Polisi Stakishari,...
View ArticleMama Shamsa Selengia Mwangunga agombea ubunge Viti Maalum Mkoa - Dodoma
Mama Shamsa Selengia Mwangunga akirudisha fomu kugombea ubunge Viti Maalum Mkoa - Dodoma
View Articlevijana wabunifu wa TEHAMA wapatiwa tuzo
Modesta Joseph, mwananfunzi wa Kisutu Sekondari Dar es Salaam akipeana mkono wa pongezi na hati ya fedhana John Mngodo, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia baada ya...
View Articlemafunzo ya wiki moja ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya...
Mjumbe wa Bodi ya Utendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa kilimo na Maendeleo Vijijini cha nchi za Umoja wa Ulaya, Afrika, Karebiani na Pasifiki (CTA), ProfesaFaustin Kamuzora akisisitiza jambo wakati wa...
View ArticleMAMA SALMA AWASILI NAIROBI KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Esther Wanjiru anayelelewa katika Kituo cha watoto cha Mama Ngina huko Nairobi muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleNGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA INTERN.AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN ,JUMAMOSI 25...
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani,inatarajiwa kutingisha jukwaa lamaonyesho makubwa ya muziki na utamaduni barani...
View ArticleMUSTAFA PANJU AJINADI KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA ASEMA AKIPATA UBUNGE...
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju ambaye ni mmoja wa wagombea wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM akiongea katika mkutano wa...
View ArticleMAKALA YA SHERIA: KESI YA BASIL MRAMBA NA DANIEL YONA MWANZO MWISHO.
Na Bashir YakubuWiki chache zilizopita, yaani Tarehe 6 JULY, 2015 mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu ya jijini Dar es salaam ilitoa hukumu katika kesi maarufu na ya muda mrefu...
View ArticleJERRY SLAA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akionyesha fomu aliyojaza kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika...
View ArticleRAIA WA AFRIKA KUSINI WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA...
Keki maalumu iliyotengenezwa na kupambwa kwa rangi za Bendera ya Taifa la Afrika Kusini iliyokabidhiwa kwa washiriki wa zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya...
View ArticleMFARANSA KUINOA STAND UNITED, NI CHINI YA UFADHILI WA ACACIA
KOCHA Mfaransa, Patrick Liewig, akizungumzia mikakati yake ya kiufundi baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu ya soka ya Stand United ya Shinyanga, kwenye makao makuu ya kampuni ya...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA 9 WA WAKE WA MARAIS KUHUSU KANSA HUKO...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyetta huko Nairobi kuhudhuria mkutano wa 9 wa Wake wa Marais wa Nchi za Afrika unaozungumzia magonjwa ya...
View ArticleWanafunzi wawili walipiwa ada kwa malipo ya bima ya mama yao
Mratibu Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, akizungumza na baadhi ya watumishi wa shule ya sekondari James Sangu (hawapo pichani )...
View Article