Wiki chache zilizopita, yaani Tarehe 6 JULY, 2015 mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu ya jijini Dar es salaam ilitoa hukumu katika kesi maarufu na ya muda mrefu iliyokuwa ikiwakabili mawaziri wa zamani wawili na katibu mkuu mmoja.
Blog hii iliripoti kwa ufupi matokeo ya kesi hiyo na kuahidi kutoa ufafanuzi wa kitaalam hapo baadae kupitia wanasheria wake.
Kwa kuwa GLOBU YA JAMII imekuwa mstari wa mbele kueleza masuala ya msingi ya kijamii yakiwemo yale ya kisheria ambayo hayapatikani mitandao mingine ya kijamii, imeona ni muhimu kuufafanulia umma nini kilitokea katika kesi hii ya kihistoria mwanzo hadi mwisho. Kuendelea kusoma BOFYA HAPA.