WAKANDARASI WAASWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI-OSHA
Mkuu wa kitengo cha sheria wa Wakala wa usalama na afya mahali pa kazi(OSHA),Joyce Mwalubungu, akizungumza na wakandalasi waliohudhuria kwenye warsha iliyoandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya mahala...
View ArticleMANISPAA YA ILALA YAELEZEA UBORESHAJI WA UKUSANYAJI WA MAPATO YAKE
Meneja Uhusiano wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu uboreshaji wa ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri hiyo. Kulia...
View ArticleAMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima ya...
View ArticleJK MGENI RASMI UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA NCHI “PHOTOGRAPHIC BOOK”
Mchapishaji wa Kitabu kipya chenye historia ya nchi tangu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964,Javed Jafferji (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa Kitabu hicho April...
View ArticleHabari njema kwa WanaBlogu waTanzaniania juu Uandikishaji Wanachama TBN
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni...
View ArticleShindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia kesho
Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni...
View ArticleMAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI KITAIFA KUFANYIKA MNAZI,MMOJA JIJINI DAR...
Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini mafanikio ya utekelezaji wa mikakati mbalimbali ya kupambana na ugonjwa huo hapa...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje amuaga Mwakilishi wa FAO nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akimkaribisha Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (F.A.O) nchini Bi. Diana E. Tempelman...
View ArticleNews alert: Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa
Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha...
View ArticleMembe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na kuwekeza...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro kwani uhusiano baina...
View ArticleVIJANA WA NCCR-MAGEUZI WAMCHUKULIA FOMU MGOMBEA URAIS WA CHAMA HICHO,DK.MIHANGO
Mkuu wa Oganaizesheni wa NCCR-Mageuzi,Faustine Sungura akizungumza na Wandishi wa habari katika Makao Makuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi,leo jijini Dar es Salaam,(kushoto) ni Katibu wa Vijana wa Chama...
View ArticleMAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR...
Serikali imesema kuwa maandalizi ya Sherehe za Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yamekamilika na kwamba sherehe hizo zitafanyika katika uwanja wa Uhuru Aprili 26 mwaka huu. Akitoa...
View ArticleTigo yazindua internet ya 4G LTE jijini Dar es salaam leo
Tigo launches bid to become biggest 4G network in TanzaniaSpeaking at the launch, Tigo Interim General Manager Cecile Tiano said: “This once again demonstrates our company’s commitment to the digital...
View ArticleWAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AWASILI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Rasaisei English Medium ya mjini Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili...
View ArticleRAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI APENDEZESHA SHEREHE YA CHAUKIDU SILVER SPRING,...
Meza kuu toka kushoto ni Rais wa CHAUKIDU Prof.Lioba Moshi, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na Mama Sitti Mwinyi wakuhudhuria sherehe ya Chama...
View ArticleMASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI...
Na Bakari Issa,Dar es Salaam Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la...
View ArticleMATEMBEZI YA ASUBUHI KWA WATUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI MKOANI DODOMA
Kesho siku ya Jumamosi tarehe 25 Aprili, 2015, kuanzia saa 12:00 hadi saa 2:00 asubuhi, kutakuwa na zoezi la matembezi ya miguu kwa watumishi wa taasisi mbalimbali Mkoani Dodoma.Matembezi hayo...
View ArticleMFUKO WA CHANGAMOTO ZA MILLENIA (MCAT) YAKABIDHIN RASMI KAMBI YA KANDA...
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millenium Challenge Account - MCAT) Eng. Salum Sasilo (kulia) akimkabidhi funguo Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya - MUST...
View Article