MALINZI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI SAFA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Afrika Kusini (SAFA) Dr.Danny Jordan kufuatia kifo cha nguli...
View ArticleDog For Sale
Puppies Details:Specie: German ShepherdGender: FemaleAge: 2 Month (Puppies)Immunization: Distemper; Canine Viral Hepatitis; Leptospirosis; Parvovirus and RabiesClinic card: AvailablePedigree: Very...
View ArticlePUBLIC ANNOUNCEMENT: WIA COM GETS NEW BOSS
WIA GROUP is delighted to announce the appointment of Mr. Patrick Nyindo (pictured above) as the new Managing Director of WIA Company Ltd, effective April 1st, 2015.Patrick is an experienced...
View ArticleWaziri Membe azungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN eneo la Maziwa Makuu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akizungumza na Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Said Djinnit...
View ArticleNHC NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM ZATILIANA SAINI MKATABA WA MANUNUZI YA...
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini...
View ArticleBILLIONAIRE MO TO GIVE AWAY $100M THROUGH MODEWJI FOUNDATION
Mohammed Dewji, head of the $1.25bn MeTL Group and an MP in Tanzania, is set to launch a foundation in May to give away $100m of his fortune.Dewji – ranked 31st richest person in Africa last year by...
View ArticleMh. Anne Kilango aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Cosmas Mwaisobwa (kulia) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majuku ya Bodi kwa Naibu...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA UNI WI-FI
Wakwanza kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Tanzania Aneth Muga akiwa ameshilia bango linaloonyesha huduma mpya ya Airtel Wi-Fi intaneti maalum kwa wanavyuo iliyozinduliwa rasmi kwa mara ya kwanza Mwanza...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA UNI WI-FI
· Wanafunzi chuo kufurahia Uni Wi-Fi kwa kifaa kinachotumia Wi-Fi· Uni Wi-Fi ya Airtel kupatikana kwa laini ya mtandao wowote Kampuni ya simu za mkono ya Airtel Tanzania katika muendelezo...
View ArticleKITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR (ZLSC) CHATOA Mafunzo kwa Maafisa wa...
Kituo cha huduma za Sheria kimetoa Mafunzo kwa Maafisa wa Mahakama ya Kadhi juu ya ulinzi wa Mtoto Zanzibar leo hoteli ya Mazsons, Shangani, Zanzibar. Juu nia baadhi ya Mashekh wakisikiliza mada...
View ArticleKAMATI YA MAWASILIANO NA UJENZI YA BARAZA LA WAWAKILISHI YATEMBELEA MIRADI YA...
Wajumbe wa kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi wakitembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Idara ya Ujenzi wa Barabara (UUB). Mwenyekiti wa Kamati hiyo wakwanza (kushoto)...
View ArticleMhe Anne Kilango Malecela aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela (wa pili kulia) akimsikiliza Meneja Upangaji Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bi. Emma Sabaya...
View ArticleDUKA LA NAKIETE LATOA MSAADA HOSPITALI YA SINZA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Akipokea Msaada kutoka Kwa Mkurugenzi wa Duka la Dawa la Nakiete Bi Batilda.Duka la Dawa la Nakiete Limetoa msaada katika Hospitali ya Sinza.Vitu Mbalimbali...
View ArticleNHIF NA PSPF WATOA ELIMU KWENYE MKUTANO MKUU WA VIONGOZI WA CWT MKOA WA LINDI
Meneja wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Fortunata Raymond akitoa elimu kuhusu maboresho yanayoendelea kufanywa na mfuko mbele ya viongozi na wawakilishi wa chama cha walimu mkoa wa Lindi,wakati wa...
View ArticleSerikali ya Tanzania na Korea ya Kusini zakubadilishana uzoefu katika masuala...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda akifungua kongamano kongamano la siku moja lililofanyika leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya uwekezaji kati ya Tanzania na Korea ya Kusini...
View ArticleNDONDO CUP YANUKIA JIJINI ARUSHA
Mkoani Arusha mwishoni mwa juma hili kunataraji kufanyika michuano ya NDONDO CUP itakayoshirikisha jumla ya timu nane kutoka mkoani hapa.Lengo la michuano hiyo ni kuwakutanisha wapenda soka mkoa wa...
View Article