Kituo cha huduma za Sheria kimetoa Mafunzo kwa Maafisa wa Mahakama ya Kadhi juu ya ulinzi wa Mtoto Zanzibar leo hoteli ya Mazsons, Shangani, Zanzibar. Juu nia baadhi ya Mashekh wakisikiliza mada katika mkutano uliondaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar.
MRATIBU wa mafunzo ZLSC Gabriel Mkama akitoa maelekezo katika mafunzo hayo.
Sheikh Khamis Abdul hamid akiwasilisha maada ya malezi ya mtoto.
Afisa habari wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Suleiman Abdulla akitoa ufafanunuzi.
Sheikh akichangia katika mkutano huo.