SAFARI LAGER NYAMA CHOMA KURINDIMA JIJINI MWANZA JUMAPILI HII
SAFARI LAGER NYAMA CHOMA MWANZA FINALSSunday, 17 March 2013 – Kiwanja Cha FurahishaKwa mara nyingine tena, Safari Lager inakukaribisha kushuhudia mchuano wa mwisho kuona ni Baripi inayochoma nyama...
View ArticleViongozi Wakuu wa Barclays Afrika wakutana na Waandishi wa Habari jijini Dar leo
Afisa Mtendaji Mkuu wa Barclays wa Huduma za Rejareja za Biashara ya Kibenki,Craig Bond akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wao wa kuelezea mipango yao endelevu ya...
View Articlemoshi mweusi wafuka vatican; papa bado hajapatikana
Moshi mweusi umefuka leo katika Chapel ya Sistine huko Vatican, kuashiria kwamba Papa mpya bado hajachaguliwa katika siku ya kwanza ya upigaji kura za siri.Papa Benedict XVI aliustua ulimwengu kwa kuwa...
View ArticleDKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA 'CITIBANK'S'
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank's, Patrick Dewide, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo...
View ArticleBALOZI WA UMOJA WA ULAYA (EU) NCHINI AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza jambo ofisini kwake, jijini Dar es Salaam na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi (katikati) kuhusiana...
View Articlekamata kamata ya wezi wa umeme yaendelea, safari hii mjini Dodoma
Kikosi cha ukaguzi cha makao makuu ya Tanesco kimeendelea na kamata kamata za wezi wa umeme na leo mashine ya kukoboa na kusaga ya Kikuyu Community Development ya mjini Dodoma imebambwa ikitumia...
View ArticleGOLDIE MEMORIES - 14TH MARCH 2013
It’s a month today 14th MARCH 2013 when you mysteriously disappeared from us, To date you left us puzzled not knowing what to say or think, With all your greatness and accomplishments in life, GOLDIE...
View ArticleMJADALA WA ELIMU WA TANZANIA WAENDELEA UGHAIBUNI - SEHEMU YA TATU
Sehemu ya Tatu ya WanaDMV wafanya mjadala wa kushuka kwa kiwango cha Elimu na matokeoa mabaya ya kidato cha Nne wakianza kuelezea Elimu zamani ilivyokuwa na nini kimesababbisha kuporomoka kwa Elimu Je...
View ArticleTAARIFA YA KIFO
FAMILIA YA MAREHEMU MZEE DAVID ELIYA MGWASSA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MPENDWA MAMA YAO, MAMA SUZAN MGWASSA, KILICHOTOKEA TAREHE 13/03/2013 KATIKA HOSPITALI YA AGAKHAN DAR ES SALAAM.MSIBA UPO...
View ArticleBALOZI WA INDIA NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, DK...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza jambo na Balozi wa India nchini, Debnath Shaw. Balozi na waziri huyo walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU CHA TIANJIAN,...
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wapili kushoto) na ujumbe wake, wakionyweshwa maumbo ya namna kiwanda cha viatu cha Huajian mjini Dongguan, China, alipotembelea kiwanda hicho, Machi 13, 2013,...
View ArticleHuyu ndio Papa Francis I,kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani
Papa Francis IKadinali Jorge Mario Bergoglio wa Argentina (pichani) ndie amechaguliwa kuwa Papa mpya wa Kanisa Katoliki Duniani kote.Kadinali Bergoglio anakuwa mtu wa kwanza kutoka Amerika kusini...
View Articlekampuni ya bia ya serengeti yazindua kampeni yake mpya jijini dar leo.
Mkurugenzi wa Masoko wa SBL,Bwa.Ephrahim Mafuru akizungumza jambo mbele ya Wanahabari waliofika kushuhudia uzinduzi wa kampeni mpya ya bia ya Serengeti Premium Lager itakayoitwa "TUPO PAMOJA-KATIKA...
View ArticleWilaya ya Kilwa yapokea walimu wapya kukabiliana na changamoto la Elimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa,Addo Mapunda akisisitiza jambo wakati hafla fupi ya kuwakaribisha walimu wapya watakaofundisha katika shule zilizopo kwenye Halmashauri hiyo ya Kilwa.Mkuu...
View ArticleVIONGOZI WA SEKTA YA ULINZI NCHINI WATUA OFISINI KWA WAZIRI NCHIMBI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Chama cha Sekta ya Ulinzi nchini (TSIA), Athuman Maige (katikati) pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho,...
View Article