Mkurugenzi wa Masoko wa SBL,Bwa.Ephrahim Mafuru akizungumza jambo mbele ya Wanahabari waliofika kushuhudia uzinduzi wa kampeni mpya ya bia ya Serengeti Premium Lager itakayoitwa "TUPO PAMOJA-KATIKA SHANGWE ZA MAFANIKIO,ambayo inatarajiwa kufanyika nchi nzima katika maeneo mbalimbali.
Meneja wa Kinywaji cha Serengeti Premium Lager,Bwa.Allan Chonjo akitoa ufafanuzi wa namna kampeni hiyo "TUPO PAMOJA-KATIKA SHANGWE ZA MAFANIKIO",itakavyofanyika, mbele ya Wanahabari waliofika kushuhudia uzinduzi wa kampeni hiyo ambayo inatarajiwa kufanyika nchi nzima katika maeneo mbalimbali.
Mkurugenzi wa Masoko wa SBL,pichani kulia Bwa.Ephrahim Mafuru,pamoja na Meneja wa Kinywaji cha Serengeti Premium Lager,Allan Chonjo wakiandaa kufanya uzinduzi wa kampeni yao mpya ya kinywa cha Serengeti Premium Lager.Pichani kati anaeshuhudia ni Meneja wa Mahusiano ya ndani ya kampuni ya bia ya Serengeti,Bwa.Iman Lwinga.
Mkurugenzi wa Masoko wa SBL,pichani kulia Bwa.Ephrahim Mafuru akitoa ufafanuzi mbele ya Wanahabari waliofika kushuhudia kampeni hiyo ambayo inatarajiwa kufanyika nchi nzima katika maeneo mbalimbali.
Moja ya ratiba za shangwe hizo zitakapokuwa.
Baadhi ya Wanahabari wakishuhudia uzinduzi wa kampeni mpya ya kinywaji cha Serengeti Premium Lager "TUPO PAMOJA-KATIKA SHANGWE ZA MAFANIKIO",iliyofanyika mapema leo asubuhi.
Meneja wa Mahusiano ya ndani ya kampuni ya bia ya Serengeti,Bwa.Iman Lwinga akiwatambulisha baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo mbele ya Wanahabari,ndani ya moja ya ukumbi wa hotel ya JB Belmonte,Jijini Dar wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya kinywaji chake cha Serengeti Premium Lager.Anaaefuatia ni Mkurugenzi wa Masoko wa SBL,Bwa.Ephrahim Mafuru,Meneja wa Kinywaji cha Serengeti Premium Lager,Allan Chonjo pamoja na Meneja Masoko Mosses Kebba