Wameshaezua mabati....!!
Tabia ya baadhi ya watu kuezua mabati kwenye vibanda vya vituo vya daladala katika maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam imeongezeka kama kibanda hicho cha Kituo cha daladala cha Msimbazi Centre Ilala...
View Articlekazi na dawa
Mwendesha bodaboda akiwa kauchapa uzingizi mzito juu ya chombo chake maeneo ya Ilala Mchikichini Dar es Salaam.
View Articlepatakuwa hapatoshi tamasha la pasaka
KWAYA ya Kinondoni Revival (pichani juu) na kundi la Glorious Celebration ni miongoni mwa burudani zitakazokuwepo kwenye Tamasha la Pasaka Machi 31 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Taarifa kwa...
View ArticleAirtel yadhamini tuzo za Mwanamakuka 2013
 Mshindi wa pili wa tuzo za Mwanamakuka bi Leila Mwambungu (katikati) akifurahi kwa pamoja na Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde (kulia) wakati wa kukabidhiwa  mfano wa hundi ya shillingi...
View ArticleNEWS ALERT: FIFA YAICHIMBIA MKWARA SERIKALI YA TANZANIA
Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Mpira wa Miguu (FIFA) limesema litaifungia Tanzania iwapo itabainika kuwa Serikali imekuwa ikiingilia shughuli za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).FIFA...
View Articlepromosheni ya Mahela yaendeshwa na VODACOM eneo la Tabata Mawenz
 Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingwa (kulia)akichezesha droo ya promosheni ya Mahela unayoendeshwa na kampuni hiyo eneo la Tabata Mawenzi,Zaidi ya shilingi Milioni 240 zinaendelea...
View Articlemjadala ughaibuni: kushuka elimu Tanzania sehemu ya kwanza
MJADALA from Luke Joe on Vimeo.Sehemu ya kwanza ya WanaDMV wafanya mjadala wa kushuka kwa kiwango cha Elimu na matokeoa mabaya ya kidato cha Nne wakianza kuelezea Elimu zamani ilikuwaje na nini...
View ArticleKINANA ATUA CHINA NA UJUMBE WAKE LEO
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (Kulia) akizungumza na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa dawati la maswala ya Afrika katika Idara ya Uhusiano wa Kimataifa ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Wang...
View ArticleAnatafutwa na ndugu zake
Naomba msaada huyu kijana amepotea JINA LAKE: ABDILLAHI SAID AHMED ni mgonjwa wa akili na nimgeni wa nchi hiikwa mawasiliano zaidi: 0658 4211120777 354155
View ArticleMkutano wa Balozi Mh. Dr Deodorus Kamala na waTanzania waishio Uholanzi -...
Ndugu waTanzania wenzetu,Tunayo furaha kuwaalika kuhudhuria mkutano kati ya Balozi wetu mpya (Tanzanian Ambassador to the Kingdom of Belgium, the Kingdom of Netherlands, the Grand Duchy of Luxembourg,...
View ArticleTanzania yasaini makubaliano ya bilioni 34.8 na Benki ya Maendeleo ya Afrika...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini makubaliano na Benki ya Maendeleo ya...
View ArticlePOLISI KAGERA WAUA MAJAMBAZI SABA
Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Kagera.Jeshi la Polisi mkoani Kagera limefanikiwa kuwaua majambazi saba wakati wa mapambano makali ya kurushiana risasi na Askari wa Jeshi la Polisi wakati majambazi...
View ArticleTAARIFA YA MAZIKO YA NDUGU SAID KHALFANI SHEDHANI - SHEFFIELD UINGEREZA
Tuna masikitiko makubwa ya kuwatangazia maziko ya ndugu yetu Said Khalfan Shedhan hayakuweza kufanyika leo siku ya Jumatatu tarehe 11/3/2013 kama ilivyotangazwa awali kutokana na kwamba mwili wa...
View ArticleSIMBA KIMENUKA
Baada ya vigogo wake wawili hans Poppe na Kaburu kubwaga manyanga, hali imezidi kuwa tete katika Klabu ya Simba baada ya kocha wa timu hiyo Patrick Liewing kuwa mguu ndani mguu nje kutokana na...
View ArticleZIARA YA MKUU WA MKOA WA RUKWA WILAYANI NKASI PAMOJA NA SHEREHE ZA SIKU YA...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na wananchi wa Kata ya Wampembe kujibu kero zao alipotembelea kata hiyo tarehe 09.03.2013. Moja ya kero kubwa za wananchi wa kata hiyo wapatao...
View ArticleBalozi wa Marekani nchini azindua muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden...
Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) akizindua rasmi muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden wakati wa hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti...
View Article