KUMBUKUMBU
ROSE KAPYA MWAILENGEIlikuwa saa 11.00 jioni, siku kama ya leo tarehe 27 February, 2006 ulipotutoka. Wakati bado tulikuhitaji sana, tulidhani ni ndoto tu.Japo sote tuliamini kuwa siku moja ungeamka...
View Articlemaisha ni safari ndefu
 Mdau Said Yakub  ana urefu wa futi 6 na inchi 2. Lakini alionekana si lolote alipokutana na jamaa huyu toka Pakistan mwenye urefu wa futi nane mjini Dubai. Yeye anajipatia riziki kwa urefu wake maana...
View ArticleLIBENEKE LA CHADEMA UK LIPO HEWANI
Timu inayolisuka tawi la Chadema UK imekuwa ikifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha kwamba uongozi utakaochaguliwa una vitendea kazi vya kisasa ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Kwa hali hiyo...
View ArticleTANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAWI LA CCM DMV
Email address:ccmwashdc@gmail.comNdugu Wana CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano wa uchaguzi bila kukosa, Ni nafasi ya kuwachagua viongozi wako utakao wapenda kujenga Chama imara.SIKU: JUMAMOSI Machi...
View ArticleMSD YAWEKA WAZI WANAOWALINDA WANAOTOROSHA DAWA NJE YA NCHI
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani akielezea kuhusu utendaji wa bohari hiyo pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo, zikiwemo za vyombo vya dola kuwafumbia...
View ArticleTanzania yasaini bil 90/- za maji ili kupanua Miundombinu ya Maji katika Miji...
Wizara ya Maji imesaini mikataba ya upanuzi wa miradi ya maji katika mikoa ya Kigoma, Lindi na Halmashauri ya mji wa Sumbawanga ,makubaliano hayo yaliyofanywa kati ya wizara na Wakandarasi...
View ArticleWAFANYAKAZI WA AIRTEL WATOA MSAADA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE...
Msimamizi wa miradi kitengo cha huduma kwa wateja Airtel Mubaraka Kibarabara akimkabithi mwalimu mkuu wa kitengo cha watoto wenye mahitaji maalumu wa shule ya msingi ya Msasani Lessy Nyambo vitabu vya...
View ArticleTIB na SIDO yasaini makubaliano ya kujenga maeneo ya viwanda
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB) Bw. Peter Noni (wapili Kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda vidogo vidogo nchini...
View ArticleMKUTANO WA WALIOSOMA KIBOSHO GIRLS
KWA WANAFUNZI WOTE WALIOSOMA KIBOSHO GIRLS WANATAKIWA KATIKA MKUTANO UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2 MACHI 2013 KATIKA KLABU YA BRAJECÂ TPDC FLATS MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA SAA...
View ArticleHOTELI YA DOUBLETREE BY HILTON KUGAWA TAA 200 KILA MWEZI ZINAZOTUMIA NISHATI...
Mwl. Salome Makanza wa Shule ya msingi Oysterbay akisoma risala kwa niaba ya Mwl. Mkuu Msaidizi Janeth Mdingi ambapo ameishukuru Hoteli ya DoubleTree by Hilton kwa kubuni kampeni kama hiyo ya kugawa...
View ArticleMhe. Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Uingereza...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uingereza hapa nchini, Mhe. Dianna Melrose. Hafla hiyo...
View ArticleUZINDUZI WA UKRAINIAN - AFRICAN ACADEMIC CENTER, KHARKOV NATIONAL UNIVERSITY...
Sherehe katika mji wa Kharkiv, Ukraine, hivi karibuni ambapo kituo hicho kimeanzsihwa kuimarisha uhusiano wa Elimu, Utamaduni na Maendeleo kwa ujumla kati ya Ukraine na Afrika.Mhe. Balozi Jaka Mwambi...
View ArticleBUNGE LA TANZANIA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA BUNGE LA NAMIBIA
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne S. Makinda (kushot) akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Namibia nchini Tanzania Balozi Japhet Issack alipomtembelea ofisini kwake leo.Pamoja na mambo mengine Balozi...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete akimkabidhi Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dr. John Gurisha orodha ya vifaa mbalimbali vya tiba kwa ajili ya...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) jijini Dar es salaam alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo leo February 27, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
View Article