SHIRIKA LA UNDER THE SAME SUN LATOA PONGEZI KWA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA KWA...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa shirika linalotetea haki za watu wenye ulemavu wa ngozi nchini (Albino) Vicky Mketema kulia na...
View ArticleRais Kikwete na Maaskofu wa KKKT jijini Arusha
Rais Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Kanisa la kiinjilki la Kilutheri Tanzania (KKKT) muda mfupi baada ya kumalizika kwa ibada ya Mazishi ya Marehemu Askofu...
View ArticleZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE yaendelea leo mkoani lindi
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Narunyu, Kata ya Tandangongoro, alipokwenda kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji...
View ArticleMinister for Natural Resources and Tourism Hon. Ambassador Khamis Kagasheki...
Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Ambassador Khamis Kagasheki (with mic) addressing tourism stakeholders in Arusha.Tourism Stakeholders in the country listening attentively to the...
View ArticleITIFAKI YA AMANI NA USALAMA YA EAC YASAINIWA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akiweka saini Itifaki ya Amani na Usalama ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Uwekaji saini huo ulifanyika...
View Articlesakata la uchaguzi TFF sasa lafika patamu,Rais Tenga asema hana uwezo wa...
Rais wa TFF, Leodegar Tenga (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya sakata la uchaguzi mkuu wa TFF,kwenye ukumbi wa mikutano uwanja wa taifa.SAKATA la uchaguzi wa...
View ArticleAzam yafanya kweli taifa leo,yaichapa el Nasir ya Sudan ya Kusini bao 3-1
Kikosi cha el Nasir ya Sudan ya Kusini Kikosi cha Azam FC.Kiungo wa timu ya Azam FC, Bolou Kipre (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka mshambuliaji wa El-Nasir FC ya Sudan ya Kusini, Abdallmelik Sebit,...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA ELIMU NCHINI ABWAGA MANYANGA
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania, Dk Paul Mushi (pichani) amejiuzulu wadhifa wake huo Kufuatia sakata kuwa Serikali haina mitaala rasmi ya kufundishia shuleni na Nafasi yake imechukuliwa na...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda Alipokutana na Viongozi wa dini za Kikristo na Dini...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Radio ya Kikristo ya jijini Mwanza ya Kwaneema, Askofu Mpemba.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadili jambo na Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Sengerema,...
View Articlechangamkieni punguo la gharama za umeme - Mama Kikwete
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara kijiji cha Mingoyo mkoani Lindi leo wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua na kuimarisha uhai...
View ArticleVodacom,HPSS zazindua mfumo mpya wa menejimenti ya taarifa za bima kwa ajili...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Aggrey Mwanri akihutubia hafla ya uzinduzi wa mfumo mpya wa menejimenti ya taarifa za bima kwa ajili ya Mfuko wa Afya ya...
View Articlewasanii wa Epiq BSS waifunika Dodoma
Mmoja wa Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya walioshiriki shindano la kuimba la Epiq Bongo Star Search pichani shoto,Walter akionesha umahiri wake wa kuimba akiwa sambamba na msanii mwingine wa...
View ArticleNews alert: Balozi Mwanaidi Sinare Maajar ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
Flashback: Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Mwanaidi Maajar akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati ya utambulisho wa Balozi wetu huyo nchini...
View Articlemrisho mpoto apania kurejesha msisimko wa maigizo ya jukwaani
Mrisho Mpoto akiigiza kama FALSTAFF na kulia ni Bw Ogutu Mulaya, alie tafasiri mchezo huu kwa Kiswahili, akicheza kama Bi Quickly. Mrisho Mpoto akiwa na waigizaji wenzake kutoka Kenya ambao waliigiza...
View ArticleDEBATE ON DEMOCRACY: Where Are We Planning To Go, Who Is To Lead Us There?
By Mdau TuntufyeA true democracy will come from our people; if our people will value every single vote, we can move forward. If every single individual will value a vote more than a precious stone,...
View Article