Wadau kibao wajitokeza Kuona Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya...
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Multichoice Tanzania ambao ni wasambazaji wakuu wa Ving'amuzi vya DStv,Salum Salum (kulia) akizungumza na Wapenzi wa soka walikuwa wamefurika kwa wingi kwenye kiota cha...
View ArticleJESHI LA POLISI JIJINI ARUSHA LAKAMATA SHEHENA YA MIRUNGI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha,Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP),Liberatus Sabas (kulia) akiongea na Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai Mkoa wa Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP),Camirius...
View Articlekumbukumbu
Marehemu John Franklin ChekaniBaba, umepita mwaka mmoja sasa toka Mwenyezi MUNGU wetu alipopendezewa kukuchukua. Bado tuna majozi makubwa toka umetutoka na kuwa mbali nasi, lakini tunaamini upo peponi...
View ArticleMAHAFALI YA CHUO CHA UFUNDI JIJINI ARUSHA YAFANA SANA
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Philipo Mulugo (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Eng. Dr. Richard Masika wakiwa wameshikia mfano wa Hundi ya Sh. mil 10 kwa ajili ya Wanafunzi...
View ArticleWatanzania Tunaombwa tuokoe Maisha ya Mtoto Hanifa (Miaka 5) kwa Michango...
Mtoto Hanifa Salum Hassan mwenye umri wa miaka mitano anasumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya Damu (Leukemia) ambao umemfanya ashindwe kusimama na kutembea, anasumbuliwa na maumivu ya kichwa wakati...
View ArticleDkt. Shein aongoza Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara la Zanzibar, (ZBC)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiendesha kikao cha Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara la Zanzibar, (ZBC) kilichofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Ngoma ya 'Last Night A DJ Saved My Life' ya kundi la Indeep ilikuwa mojawapo ya ngoma zilizokataza wadau kubaki vitini enzi hizo
View Articlein loving memory
The Late Mzee Damas J.S. Kinabo 1933-2011Dad,It has been two long years since you went to be with the Lord. Today we pause to reflect upon your life and the impact in our lives. You have shaped our...
View ArticleRUBADA yapokea ripoti, mapendekezo mradi wa Stiegler’s Gorge
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya mamlaka ya uendelezaji bonde la mto Rufiji (RUBADA), Prof. Raphael Mwalyosi (wa pili kushoto) akipokea ripoti na mapendekezo ya mradi wa kuzalisha umeme wa...
View ArticlePOLISI LINDI YAZUIA MAANDAMANO YA GESI YALIYOANDALIWA NA VYAMA VYA SIASA
Na Mwandishi wetu,LindiJESHI la Polisi mkoani Lindi,limezuia kufanyika kwa maandamano ya kuunga mkono majirani zao wa Mtwara,kupinga kusafirishwa kwa njia ya bomba la gesi asilia,kutoka mkoani humo...
View ArticleNSSF yaanza kuuza Nyumba zake za Bei nafuu Kibada Kigamboni jijini Dar
Mkurugenzi wa Mipango Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula (kulia) akimkabidhi funguo ya nyumba, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji...
View ArticleMvua zakwamisha Abiria waendao Lindi na Mtwara
Hii ndio hali ilivyo katika barabara kuu iendayo Lindi na Mtwara kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa katika maeneo hayo.Abiria wa Mikoa hiyo wamekuwa katika wakati mgumu kutokana na magari...
View ArticleMANGULA AZUNGUMZA NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI ILEMELA NA NYAMAGANA JIJINI...
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula akizungumza na wajumbe wa nyumba kumi wa vijiji vya Ilemela na Nyamagana jijini Mwanza, alipokutana nao kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo Januari 20,...
View ArticleMCHAKATO TIKETI ZA ELEKTRONIKI WAFIKIA ASILIMIA 80
Ujenzi wa vifaa (turnstiles) vitakavyotumika kwa ajili ya tiketi za elektroniki kwenye viwanja saba kati ya nane vitakavyotumia mfumo huo umekamilika kwa asilimia 80.Viwanja hivyo ni Chamazi (Dar es...
View ArticleMASHABIKI WA SOKA JIJINI ARUSHA WAFURAHIA UFUNGUZI WA AFCON 2013 NA DStv...
Mashabiki wa soka wa jiji la Arusha, wamepata fursa ya aina yake ya kushuhudia uzinduzi wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika za mwaka huu wa 2013, katika kiota maarufu cha Babylon Club...
View ArticleRAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAWASILI NCHINI UFARANSA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mke wa Rais wa Mali,Mama Touré Lobbo Traoré waliyekutana naye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles de Gaulle jijini Paris, Ufaransa, baada ya kuwasili...
View ArticleBreaking nyuzzzzz......: Mafuriko yaukumba mji wa mtwara leo
Mvua kubwa iliyonyesha mapema leo mjini Mtwara imepelekea mafuriko katika maeneo mbali mbali ya mji huu na kufanya wakazi wa maeneo haya kupata kuanza kuhangaika kuhamisha vitu vyao na wengine wakiwa...
View ArticleWaziri Mkuu ashiriki chakula cha Mchana na watu wenye Ulemavu jijini Dar leo
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwahutubia watu wenye walemavu walioalikwa katika hafla ya cha mchana kilicho andaliwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Bw. Reginald Mengi ikiwa ni katika kukaribisha...
View ArticleBASI LA ABIRIA LA NGANGA LAPINDUKA JIJINI MBEYA LEO,MMOJA APOTEZA MAISHA NA...
BASI LA KAMPUNI YA NGANGA LILILOKUWA LINATOKEA MBEYA KWENDA DAR ES SALAAM LIMEPINDUKA LEO KATIKA ENEO LA IMEZU NJE KIDOGO YA MJI WA MBEYA. AJALI HIYO IMETOKEA MAJIRA YA SAA MBILI ASUBUHI NA ABIRIA...
View Article