WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imelipa sh. bilioni 43 zikiwa ni madeni kwa watumishi wa umma na kati ya hizo sh. bilioni 16.25 zimelipwa kwa walimu.“Hadi kufikia mwisho wa mwezi uliopita,...
View ArticleSPIKA NDUGAI AMJULIA HALI MBUNGE WA CHAANI NYUMBANI KWAKE MJINI UNGUJA
Spika wa Bunge Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Chaani Khamis Yahya Machano (kulia) alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Unguja Mjini, Zanzibar mapema leo.Spika wa...
View ArticleUWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8...
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.JUMUIYA ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Temeke wamempongeza Mwenyekiti wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufulu...
View ArticleJWTZ YAMTAKA ALIYELALAMIKIA HUDUMA HOSPITALI YA LUGALO AJITOKEZE KUBAINI...
Na Luteni Selemani SemunyuJeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania limekanusha taarifa zilizosambazwa kupitia mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko juu matibabu ya mtoto anayedaiwa kuvunjika na...
View ArticleWAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA UPANUZI WA MAJI YA ZIWA VICTORIA NA KUSHUHUDIA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Old Shinyanga hadi Kishapu, Mwadui na Kolandoto Julai 13, 2018.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata...
View ArticleHAPA KAZI TU YAMRUDISHA LETICIA CCM
Na Khadija Seif , Globu ya jamii.Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Leticia Ghati Mosore pamoja na wajumbe wenzie wanne wamerejea Chama cha Mapinduzi (CCM) kuunga mkono juhudi za...
View ArticleKAMISHNA MKUU WA TRA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA KIKODI ZINAZOIKABILI SEKTA...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (kulia) akimsikiliza Mtaalam wa kutengeneza mvinyo wa Kiwanda cha Kutengeneza Mvinyo (CETAWICO) cha Jijini Dodoma, Bw. Erick...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BARAZA JIPYA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza jipya la wadhamini wa Chama cha Mapinduzi CCM Ikulu...
View ArticleMAKAMISHNA WASAIDIZI WAANDAMIZI WASTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA WAAGWA JIJINI...
Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mstaafu wa Magereza, Joel Bukuku(kulia) akiwa kwenye gari maalum pamoja na Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mstaafu wa Magereza Deogratis Lwanga(kushoto) wakipita katikati ya...
View ArticleZURIEL SPEAKS IN PRETORIA during Mandela Centenary and BRICS Summit Preparations
With many events leading to the BRICS Summit, the arrival of Barack Obama, and the Nelson Mandela Centenary celebrations, the Government of South Africa has invited Girl Education advocate and Film...
View ArticleMAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI WAKABIDHIWA ZAWADI YA USHINDI...
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (mwenye tai nyekundu) akimuangalia Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi Jinai na Huduma za Vinasaba, Bw. David Elias,...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo katika kozi mbalimbali kutoka Serikali ya Saudi Arabia.Mafunzo hayo yatatolewa katika Chuo Kikuu cha Imam...
View ArticleWAKULIMA DAKAWA WANUFAIKA NA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Na Mwandishi Maalum - DAKAWAWakulima wa kilimo cha Mpunga katika skimu ya kilimo cha Umwagiliji ya Dakawa wamenufaika na kilimo hicho baada ya serikali kukarabati mindombinu ya umwagilijai ikiwa ni...
View ArticleWASIFU WA KAMISHNA JENERALI MTEULE WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI
KAMISHNA JENERALI MTEULE WA JESHI LA MAGEREZA, DCP PHAUSTINE M. KASIKE,ndcCGP Mteule DCP Phaustine M. Kasike, Alizaliwa mwaka 1965 na alipata Elimu ya Sekondari katika Shule ya Iyunga, Mbeya Mwaka...
View ArticleMAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimsikiliza Kaimu meneja Uhusiano na Masoko wa Shirika la Hifadhi za Jamii (NSSF) Salim Khalfan wakati akimpa maelezo alipotembelea kwenye banda...
View ArticleTFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI
Meneja Masoko na Uwekezaji wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS),Mariam Kobelo mapema leo asubuhi akigawa Vipeperushi kwa Wakazi wa Dar es Salaam ambao wanafanya safari ya kutembelea Msitu wa...
View Article
More Pages to Explore .....