Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110021 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius...

Mkurugenzi Mteule wa NSS Bwa.William Erio

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI MGENI RASMI UFUNGUZI WA TAMASHA LA URITHI FESTIVAL

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii.RAIS Dk.John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kitaifa wa tamasha la maalum la Mwezi wa Urithi kuenzi utamaduni wa Mtanzania ambalo litafanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAMBUA PAMBA CHA GAKI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kuchambua pamba cha GAKI na kusema amevutiwa na uwekezaji uliofanywa na wamiliki wa kiwanda hicho ambao ni Watanzania.“Ninawapongeza wazawa walioamua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DStv wanakuambia hivi, moto hauzimwii

Utakuwa ni wakati wa burudani ya aina yake ,kuanzia Julai 13 hadi 31, kila mteja wa DStv ambaye akaunti yake iko hewani atazawadiwa chaneli zote za michezo na za Watoto buree kabisa!Amini usiamini….,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUUUUZZZZZZ.....: MBUNGE WA TUNDUMA ATIWA MBARONI MCHANA HUU

Mbunge wa Tunduma, Frank Mwakajoka amekamatwa na Polisi muda huu na kuwekwa rumande katika kituo cha Polisi Tunduma mchana huu, taarifa kamili juu tukio hilo zitakujia hapa hapa.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI LA HALMASHARI YA WILAYA YA...

 Gari la halmashauri ya Meatu limepata ajali eneo la mkiwa Ikungi likitokea Dodoma lilikuwa na madiwani na mkurugenzi wa halmashauri ya Meatu, inadaiwa kuwa ndani ya gari hiyo kulikuwa na watu 8 watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WASTAAFU WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO

Mwenyekiti wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) Kamishna mstaafu Suleiman Kova akizungumza katika ufunguzi wa semina ya wastaafu hao ambapo walipatiwa elimu ya kupata mikopo ya kustaafu na benki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ndoo za mafuta ya kula yaliyotokana na mbegu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha JIELONG, nje kidogo ya mji wa Shinyanga Julai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA WAWEKEZAJI SEKTA YA UTALII

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Meatu, Dr. Joseph Chilongani. RC Mtaka (kulia) akizungumza na askari wa FCF. Viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Kamati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KALEMANI AWASHA UMEME KIJIJI CHA KISANGA

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiwasha umeme katika Kijiji cha Kisanga Kata ya Kisanga wilaya ya Sikonge tarehe 12 Julai, 2018. Wengine wanaoshuhudia ni Viongozi Waandamizi kutoka kwa Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYAMA VYA SIASA 38,WASHIRIKI ZAIDI YA 130 KUTOKA NJE YA AFRIKA KUSHIRIKI...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kunatarajia kufanyika mkutano wa kidunia wa vyama vya siasa pamoja na kikao maalum cha Afrika ambapo zaidi ya washiriki 130 wanatarajia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF KUTOA PENSHENI YA UZEENI KWA WALE WOTE WALIO SEKTA ISIYO RASMI PINDI...

Shirika la Taifa la Hifadji ya Jamii(NSSF) limejipanga kutoa pensheni ya Uzeeni kwa watanzania wote walio katika sekta rasmi na sekta isiyo rasmi Hayo yalisemwa katika mkutano baina ya NSSF na viongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE WA KWANZA AAPISHWA KUWA MEJA JENERALI KENYA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiRAIS wa Kenya Uhuru Kenyata amemwapisha  Fatuma Ahmed kuwa Meja Jenerali nchini humo na kuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo.Jenerali Ahmed anakuwa mwanamke wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZIGO MPYA WA ENGINE KUTOKA UK UMEINGIA

Tumeingiza mzigo mpya kutoka U.K tuna Engine zifuatazo....DISCOVERY 3 ENGINE T.Sh.9.5 MilionDISCOVERY 2 Td5 ENGINE T.Sh.4.5 Milion.DISCOVERY 1 Tdi 300 AND Tdi 20O ENGINE T.Sh.4.5 MilionDEFENDER ENGINE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PADRI AUGUSTINO RAMADHAN AONGOZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MKE WA...

 Padri wa Kanisa la Anglikana, Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhan akiongoza ibada ya kumbukumbu ya marehemu Elizabeth Shaba mke wa Profesa James Shaba aliye patwa na mauti Julai Mosi mwaka huu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akabidhiwa rasmi ofisi na...

 Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akisaini taarifa ya makabidhiano ya ofisini na mtangulizi wake Bw. Kailima Ramadhani ambaye sasa ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO KIKUU CHA UZALISHAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA...

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimuuliza swali, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho, Alphonce Malibiche (kushoto), wakati wa ziara ya kutembelea Kituo Kikuu cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMBA ATOA MILIONI 46 ZA MFUKO WA JIMBO KUSAIDIA MIRADI YA MAENDELEO...

ZAIDI ya Sh.milioni 46 kutoka Mfuko wa Jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto, Mkoani Tanga zimegawiwa kwenye kata 18 za jimbo hilo ili kuweza kuchangia kasi katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASCO TEMEKE KUMALIZA KERO ZA MIVUJO YA MAJI

Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), limejipanga kuondoa kero ya mivujo ya Maji katika mitaa yote ya Wilaya Temeke ambayo imekuwa ikiripotiwa na wakazi pamoja na viongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTUNZAJI WA FUKWE KUTALETA WATALII WENGI NCHINI- TTB

 Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Nchini(TTB) Ernest Mwamwaja akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa Ramada Resort Dar es Salaam Barath Swarup wakifanya usafi kwa pamoja katioa fukwe ya Hotel hiyo...

View Article
Browsing all 110021 articles
Browse latest View live




Latest Images