POLISI SHINYANGA YATOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI KWA MADEREVA NA WAMILIKI...
Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limeendesha mafunzo kuhusu masuala ya usalama barabarani kwa wamiliki na madereva wa magari,pikipiki na bajaji ikiwa ni sehemu ya njia za kukabiliana na ajali...
View Articleutalii katika msitu wa Chome kilele cha mlima Shengena wilayani Same kutangazwa
Ni utalii katika msitu wa Chome hususan kilele cha mlima Shengena ambapo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imedhamiria kutangaza kivutio hiki ili kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea eneo hilo. Mkuu...
View ArticleKAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEA WAFANYABIASHARA JIJINI DODOMA
*TRA yawataka wafanyabiashara wenye changamoto za kikodi kufika ofisiniNA RACHEL MKUNDAI, DODOMAKamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere, amewataka wafanyabiashara wote nchini...
View ArticleWaziri wa Afya azindua mradi wa TUWATUMIE Itilima mkoani Simiyu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu amezindua rasmi mradi wa TUWATUMIE unaotekelezwa katika wilaya za Itilima mkoani Simiyu na Misungwi mkoani Mwanza. Uzinduzi...
View ArticleKAIMU MTENDAJI KATA YA KENYAMANYORI ASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA...
Na Frankius Cleophace,TarimeMKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara Elias Ntiruhungwa amemsimamisha kazi Kaimu Ofisa Mtendaji wa Kata ya Kenyamanyori Laurent Marwa kwa upotevu wa fedha...
View ArticleMWENGE WA UHURU UNATARAJIA KUPITIA MIRADI 67 YENYE THAMANI YA ZAIDI YA...
NA MWAMVUA MWINYI,MKURANGAMKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo amepokea mwenge wa uhuru ,ukitokea jijini Dar es salaam ,ambapo ukiwa mkoani hapo unatarajiwa kupitia miradi ya maendeleo 67...
View ArticleWADAU WAKIWAKILISHA MASHABIKI WA SOKA WA TANZANIA HUKO URUSI KWENYE KOMBE LA...
Sehemu ya Watanzania walioko nchini Urusi kushuhudia kombe la dunia jijini Moscow.
View ArticleWAZIRI WA AFYA AWATAKA WAGANGA WAKUU KUSIMAMIA MATUMIZI YA MAGARI YA KUBEBEA...
Na Stella Kalinga, SimiyuWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku magari ya kubeba wagonjwa (Ambulance ) kubeba watu au kitu chochote tofauti na...
View ArticleKAIMU MTENDAJI KATA YA KENYAMANYORI ASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA...
Na Frankius Cleophace,TarimeMKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara Elias Ntiruhungwa amemsimamisha kazi Kaimu Ofisa Mtendaji wa Kata ya Kenyamanyori Laurent Marwa kwa upotevu wa fedha...
View ArticleHALMASHAURI YA BUHIGWE, OFISI YA MBUNGE WAANDAA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI
Na Rhoda Ezekiel Kigoma,HALMASHAURI ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma kwa kushirikiana na ofisi ya mbunge wameandaa mafunzo kwa wajasiriamali wadogo wilayani humo.Lengo ni kuongeza ukusanyaji wa...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA WILAYA YA KISHAPU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mtoto Witness Castory wa Shule ya Awali ya Lubaga wilayani Kishapu baada ya mtoto huyo na wenzake kuimba wimbo wa kumkaribisha Waziri Mkuu kwenye viwanja...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATEUA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA
Kamishna Jenerali Mteule wa Jeshi la Magereza,Phaustine Kasike
View ArticleMAZISHI YA MKE WA KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII
Jeneza lenye mwili wa Mke wa Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde, marehemu Sarrah Kibonde, ukiwasili kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni hii tayari kwa...
View ArticleNAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Askari wa Usalama Barabarani Faustina Ndunguru akitoa maelezo juu ya usalama barabarani na matumizi ya alama za...
View ArticleUHUSIANO KATI YA MWEKEZAJI NA WANANCHI WAIMARIKA
Na Stella Kalinga, SimiyuWananchi na viongozi kutoka katika vijiji saba vinavyounda Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori (WMA) ya Makao hususani Kijiji cha Makao wilayani Meatu Mkoani Simiyu, wamekiri...
View ArticleSHIRIKA LA AFYA ULIMWENGUNI (WHO) LATOA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KWA...
Naibu Waziri wa Affya Zanzibar Harus Said Suleiman pamoja na Mwakilishi wa WHO Tanzania Dkt. Adiele Onyeze wakitiliana saini makabidhiano ya Dawa na Vifaa Tiba kwaajili ya Wizara ya Afya Zanzibar...
View Article
More Pages to Explore .....