Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo Yazindua Kampeni mpya ya ‘Tigo Pesa ni Zaidi ya Pesa’

Kampuni ya Tigo Tanzania, leo imezindua kampeni ya ‘Tigo Pesa ni Zaidi ya Pesa’, kama uthibitisho kuwa huduma hiyo sasa ina hadhi ya huduma kamili ya kifedha ambayo inawapa wateja huduma za kipekee,...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJIJI 56 MANONGA KUPATA UMEME MWAKA WA FEDHA 2018/2019

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMBUNGE wa Manonga Seif Gulamali ameeleza mkakati wake katika kusimamia miradi ya maendeleo kwa bajeti ya mwaka 2018/2019 ambapo amesema kuwa huduma kama afya, elimu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTENDAJI WA KIJIJI KURUYA APEWA SIKU 19 KUREJESHA FEDHA ALIZOTAFUNA

Na Frankius Cleophace, RoryaSERIKALI imemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Kuruya katika Kata ya Komuge wilayani Rorya mkoani Mara Mwita Mangondi kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MANGULA ATEMBELEA BANDA LA NSSF MAONESHO YA SABA SABA JIJINI DAR LEO

Kaimu meneja wa Uhusiano na Masoko,Salim Khalfan akitoa ufafanuzi wa huduma zinazopatikana ndani ya NSSF kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara, Philip Mangula alipotembelea banda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA NA SIMBA UGHAIBUNI YATOA TUZO KUMUENZI ALPHONCE MODEST

Mchezaji Shaban Mwampambe (mwenye kipaza sauti)  akiongelea historia ya mchezajiAlphonce Modest ambaye kwa sasa ni mgonjwa siku ya Jumamosi July 7, 2018 siku ilipofanyika Old School Reunion DMV huko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Agro & Poultry Tanzania @ Mlimani Conference Centre in September 2018

The Agro & Poultry Tanzania 2018 targets Agriculture, Irrigation,Poultry, Veterinary, Animal Feed, Vegetables, Fruit , Maize,Wheat, Tractors companies for their participation.Minimum Booth/Stand...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI WA AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEY DROO YA TATU WAPATIKANA

Mkazi wa Morogoro, Frank Kisayo ameshinda zawadi ya televisheni ya kisasa aina ya Samsung yenye ukubwa wa inchi 32 kupitia promosheni ya Amsha Amsha Ushinde na Airtel Money ambayo inaendeshwa kampuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi Mtego wa Simba wafurahia kuwashiwa umeme

Na Veronica Simba – MorogoroWananchi wa Kijiji cha Mtego wa Simba, Kata ya Mikese, Wilaya ya Morogoro Vijijini, wameshindwa kuzuia furaha yao baada ya Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, kuzindua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHAHIDI KATIKA KESI INAYOMKABILI TIDO MHANDO KUENDELEA KUSIKILIZWA JULAI 18

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili Mkurugenzi mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUENDELEZA DORIA ZA KIROHO

Na Jeshi la Polisi.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewaomba Viongozi wa dini nchini kuendelea kufanya doria za kiroho huku Jeshi hilo likiendeleza doria za kimwili kwa pamoja ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUFUTA TOZO YA USAJILI,KUHUWISHA NA KUSHIKILIA USAJILI KWA...

NA WAMJW-MWANZASERIKALI kupitia wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imefuta tozo ya usajili , kuhuwisha pamoja na kushikilia usajili wa bidhaa zao kwa wawekezaji wa ndani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo wakati alipowasili kwenye ukumbi wa CCM jijini Dodoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MONDULI AZINDUA KIWANDA KIDOGO CHA KUCHAKATA NGOZI

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta Jumatano Julai 11, 2018 amezindua kiwanda kidogo cha kuchakata Ngozi na kutengeneza bidhaa za ngozi kiwanda hicho kipo katika kijiji cha Mswakini na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAKIWA MOSCOW KUSHUHUDIA UINGEREZA WAKIRUDISHWA NYUMBANI NA CROATIA

  Wadau wa Globu ya Jamii kutoka Tanzania Dhiresh Kaba, Moheel Kaba, Javier Diaz na Jay Kaba wakiwa Moscow kushuhudia kipute cha jana cha Croatia vs England Dhiresh Kaba akifurahia baada ya Croatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiTimu ya KMC Fc imeendelea na usajili wake wa kuzidi kuimarisha kikosi chao kinachonolewa na Kocha Mrundi Etienne Ndayiragije kwa kumsajili kiungo mshambuliaji  Abdul...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA KUFANYIKA JUMAMOSI

Na Mwandishi Wetu,TAMASHA la Majimaji Selebuka linalohusisha mashindano ya  mbio za baiskeli, riadha, ngoma za asili na Midahalo kwa wanafunzi wa shule  mbalimbali za Sekondari katika  Manispaa ya...

View Article

MICHUZI TV LIVE: AJALI MBEYA SASA BASI KWA MAOMBI MAZITO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala akimkaribisha  Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola aliyefika Idara ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya kikazi.Picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COSTECH YASHANGAA KUIONA BARUA WALIYOIANDIKIA TWAWEZA IKIWA MTANDAONI

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiTUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) imesema kuwa barua iliyokuwa katika mitandao ya jamii ni yao isipokuwa wanasikitishwa kuiona katika mitandao hiyo kabla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YAWANOA VIONGOZI WANAWAKE DAR

Na said Mwishehe, Globu ya jamii SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeamua kuwanoa viongozi wanawake wa ngazi mbalimbali wakiwamo madiwani na wakuu wa Idara katika manispaa za Mkoa wa Dar es...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images